World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

nigeria wamevimbiwa fufu, wazitooo, wanageuka kama kobe. ni timu hii hii ndio ilishiriki qualifiers matches au ingine?
 
Hilo halina ubishi mkuu,game ile pale ni kama ilivyokua England na Uruguay,Ghana angekua anacheza na England kwa mpira aliocheza leo angempiga hata 4..mpaka sasa mjeruman hajaamin kilichompata tena anashukuru ametoka sare..sio siri game zote dhidi ya Africa nimeangalia ila sijaona mpira mzuri kama waliocheza Ghana leo,kwanza wachezaji wana nidham ya mpira na wanacheza ki-team ila A Ayew ajiangalie anaigharim timu some time,mchoyo wa pasi tatizo anataka afunge yeye tu.

Indeed Ghana are playing very beautiful football... but what we need is EFFECTIVE football from them!
 
So far so good. Makocha wazalendo wanaweza jamani.. ona hawa wa timu za Nigeria & Ghana. Hata timu yetu bora tumpe Kibadeni au Minziro.
 
Dah!naona wanakosa magoli tuu akina Mikel na Emenike ah,nawatakia ushindi mwema wakuu..Odemwingie daaah kakosa!sie tunakosa wao wakirudi hawatukosi.ngoja nilale!
 
So far so good. Makocha wazalendo wanaweza jamani.. ona hawa wa timu za Nigeria & Ghana. Hata timu yetu bora tumpe Kibadeni au Minziro.

Wazalendo wanaweza lakin yapasa kuwapa muda
 
Nigeria wanacheza vizuri ila wazito kidogo! Naona wanakoswakoswa!
 
Back
Top Bottom