Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo halina ubishi mkuu,game ile pale ni kama ilivyokua England na Uruguay,Ghana angekua anacheza na England kwa mpira aliocheza leo angempiga hata 4..mpaka sasa mjeruman hajaamin kilichompata tena anashukuru ametoka sare..sio siri game zote dhidi ya Africa nimeangalia ila sijaona mpira mzuri kama waliocheza Ghana leo,kwanza wachezaji wana nidham ya mpira na wanacheza ki-team ila A Ayew ajiangalie anaigharim timu some time,mchoyo wa pasi tatizo anataka afunge yeye tu.
Teh Teh Teh Teh
Mkuu achana na hayo Mkuu!
Wameanza vyema wala fufu
Ndiyo hiyo hiyo hapa wamemuongeza Odomwengienigeria wamevimbiwa fufu, wazitooo, wanageuka kama kobe. ni timu hii hii ndio ilishiriki qualifiers matches au ingine?
Amafufu?
Fufu ni chakula cha Nigeria ambacho ni ugali wao mgumu sana
So far so good. Makocha wazalendo wanaweza jamani.. ona hawa wa timu za Nigeria & Ghana. Hata timu yetu bora tumpe Kibadeni au Minziro.
Ndiyo hiyo hiyo hapa wamemuongeza Odomwengie
Nigeria wanacheza vizuri ila wazito kidogo! Naona wanakoswakoswa!
[FONT=Open Sans, sans-serif]Gotze has been elected as Man of Match[/FONT]