Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
somebody please tell me whats wrong with the table???
NJItaP mtoto Kama Naymar angegongana naye basi Naymair sasa hivi angekuwa Hospital jamaa Yule akitema mate yanadunda! NJItaP njemba si mchezo ile.
0, 3, 6, 9 Arithmetic Serious
vp wanajitahidi kurudisha heshima?
Brazil hawana kitu.siyo ile ya 2002,lazima tuwachinje.Hamna cha Naima wala nani!
jana ameshawaambia wenzie kuwa ureno kombe la dunia wasahau kabisa
Top scorer mpaka sasa ni nani jamani?
Mwiso wa mechi NED watakuwa na point 9, chezea sie.
Tehtehteh walikuwa wanazile jezi zao za basketball kuonyesha wamebeba sana mifuko ya cement aliokuwa Fidodido alikuwa. Etoo tu na marehemu Vivian Foe mungu amrehemu R.I.P.Haha eti mate yanadunda
Ujerumani yako Jana mashabiki wale wamejipaka makaa ya Kuwa weusi sasa ile fancy dress au ubaguzi wao wa waziwazi?Ngoja ujerumani wangu waje kuua kabisa