World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil hawana kitu.siyo ile ya 2002,lazima tuwachinje.Hamna cha Naima wala nani!
 
Channel moja hapa inaanalyse mechi.. kuna wakati Cameroon walipiga pasi 23 .. Brazil wakitafuta mpira/wanasema Brazil haitishi sana
 
kina Esoue Ekkoto Kama nimepatia jina au nimekosea Samahani wamefukuzwa nini kwenye timu? Sizani hata bench Kama yupo.
 
Haha eti mate yanadunda
Tehtehteh walikuwa wanazile jezi zao za basketball kuonyesha wamebeba sana mifuko ya cement aliokuwa Fidodido alikuwa. Etoo tu na marehemu Vivian Foe mungu amrehemu R.I.P.
 
Yaani huyu Fred na Hulk waje Taifa Stars tuu Mbwana Samatta aende Brasil,,,bila Neeeema wangetia sana Aibu!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom