born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
mkuu al ahly walitumia wanyama kwa yanga.
Ndo tatizo la fitna za soka hapa bongo, linatumaliza wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu al ahly walitumia wanyama kwa yanga.
Acha kabisa lilikuwa jembe haswaa,kina Foe,Girbato Song,pia walikuwa njema sana.
Mtihani wako wa kwanza ni kwa Chile, subiri tar 28 uone atakavyo kuhangaisha na pengine ikawa mwisho wa safari kwa mwenyeji.Usijidanganye brasil ni timu nzur kuliko german/holland
girbato au rigobert?
Mtihani wako wa kwanza ni kwa Chile, subiri tar 28 uone atakavyo kuhangaisha na pengine ikawa mwisho wa safari kwa mwenyeji.
Hamna mtu ninayemsikitikia kama Pirlo leo jamani!
Suarez hawaachi hata kidogo
Chile atapigwa kama cameroun tu.
hapo ndo utajua Wataliano kina nani..subiri mda ufike.
Uruguay wanapenda kucheza viatu; hizi mechi ndo huwa zinampa ujiko MARIO hizi hizi..
Yaya Toure claims Manchester City stopped him from spending time with his dying brother
![]()