World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hamna mtu ninayemsikitikia kama Pirlo leo jamani!

Suarez hawaachi hata kidogo
 
Baada ya Brazil na Mexico kupita kundi A na kuwaondoa Cameroon na Croatia na pia Uholanzi na Chile kupita kundi B na kuwaondoa Spain na Australia kivumbi kipo leo.

Leo zinacheza timu za kundi C na D.

Katika kundi C timu ya Colombia na point zake 6 imeshapita. Shughuli ni Ugiriki na Ivory Coast ambapo timu itakayoshinda ndio itasonga mbele. Hata hivyo droo itaiweka pazuri Ivory Coast.
Endapo Colombia wataiachia ushindi Japan, basi Ugiriki hata wakishinda hawatasonga.
Muelekeo unaonyesha kuwa kundi hili Ivory Coast ina nafasi nzuri ya kuungana na Colombia ktk safari ya 16 bora.

Aidha katika kundi D England imeshaondoka na itacheza na Costa rica kukidhi ratiba. Ngoma ni kati ya Italia na Uruguay ambapo Italia inahitaji ushindi au droo iweze kusonga. Costa rica na pts zake 6 imeshapita na itakuwa inatimiza ratiba
 
huyu cr7 wenu boya tu mechi mbili hana goli,ila ameingia saloon mara3 messi mechi mbili,goli mbili na two man of the match award,cr kaz urembo tu hana lolote atasubiri xana kwa messi
 
Mungu naomba kikombe hiki cha kutolewa mapema kimuepuke Andre Pirlo lkn sio kama ninavyotaka mm bali mapenzi yako yatimizwe!!
 
huenda akapigwa lakini si kama Cameroun; Cameroun wamepigwa 4-1. unawasikia Chile au?

Brazil wanaweza kusonga mbele...lakini watapata hasara nyingi sana baada ya mechi hiyo. Chile wanastamina kuzidi Brazil;
Chile atapigwa kama cameroun tu.
 
hapo ndo utajua Wataliano kina nani..subiri mda ufike.
Uruguay wanapenda kucheza viatu; hizi mechi ndo huwa zinampa ujiko MARIO hizi hizi..

Italiano hata hawezi msumbua Uruguay ya Cavan;Stuan na Suarez mbele na huku nyuma ukuta wa Godin na Lugano
 
Manchester United will complete signing Athletic Bilbao midfielder Ander Herrera for £28.4m today.
 
Yaya Toure claims Manchester City stopped him from spending time with his dying brother

Bq4dncBCMAAKYZW.jpg
 
Ushabiki ni kama ulevi mtu anayekunywa safari anamdhalau anayekunywa serengeti na yule wa Konyagi huwa anajiona yeye ni zaidi kuliko wote lakini mwisho wa siku ni yule anayekunywa nyingi ndio analewa. na yule anayeongezea na nyama choma utamu unakuwa mkubwa zaidi.
 
Yaya Toure claims Manchester City stopped him from spending time with his dying brother

Bq4dncBCMAAKYZW.jpg

huyu nae mara akasirike kwa sababu hajaimbiwa 'happy birthday to you' sasa anakuja na hii....kashakuwa 'DIVA' huyu primadonna mkubwa!
 
Maskini Andre Pirlo!Dunia ya soka itakukumbuka sana!Nitakuja kuwaambia wajukuu zangu miaka ijayo kuwa nilibahatika kuwaona kwenye TV FIVE great players:Zinadine Zidane,Ronaldo De Lima,Andre Pirlo,CR7 na Messi

Goodbye Andre Pirlo the greatest
 
Back
Top Bottom