miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
CHANCE! Noboa squanders a gold-plated opportunity to put 10-man Ecuador 1-0 up. He may live to regret that.
Lugha gani hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHANCE! Noboa squanders a gold-plated opportunity to put 10-man Ecuador 1-0 up. He may live to regret that.
why?? is man utd playing tonite??
Lugha gani hii?
Kwa hiyo alicholalamikia Yaya ni sahihi, Man City walimnyima nafasi ya kwenda kuspend na dying brother wake. Wewe unavyomsema amekuwa diva sababu analaumu mwajiri wake kwa kumnyima nafasi ya kuwa na ndugu yake ambaye alikuwa mgonjwa si safi. Fikiria iwe wewe una ndugu yako aliye katika hali kama hiyo afu mwajiri wako anakunyima nafasi ya kwenda kumtembelea mgonjwa wako je utajisikia poa tu just kwa vile unaishi West? Hata huku West kuna watu wanapewa nafasi ya kuspend time na mtu aliye katika stage za mwisho wa life yake... comforting ni muhimu popote pale duniani.
Mkuu ni jibe tu kwa vile ni mchezaji wa UTD, usichukulie serious. Have a laugh.
Kimakua na kizigua
Aya bye asubuhi uniambie nani kashinda naenda kulala
Mmh anakazi acheze mara zote hizo duh... round 16 si mchezo ujue
Hayo ndio majibu? Lol!
mtu anaelalamika hata kuimbiwa happy birthday ni 'diva' tu...sio lazima upewe ruhusa kila unapoomba....deal with it.
Shaqiri kafunga la tatu,Switz haoooooooooooo wanaelekea 16 bora