Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa mimi si shabiki wake
1. Little magician/soccer genius
Muda wowote anakufunga hasa pale usipopataraji, anajua ku-dribble mpira vizur mabeki wanaijua habar yake
2. Simple player
Hana muda wa kujipodoa sana mfano new hair cut kila baada ya muda mfupi, hakasiriki sana akifanyiwa rafu mpira wake ndo unawanyamazisha watu
Haya yana mtosha sababu si fan wake kiivo
Ila anabaki best player ever hata asipobeba WC mpaka astaafu
#teamCR7 one man army
ila wasingefunga bila Pasi za hao watu waliotajwa Hendo na Coutinhio zaidi ya hapo Ozil mkali ndio kwanza msimu wa mwanzo anachotakiwa kukaza msuli Ligi inamabavu sana ukiitizama Umbo la Coutinho wa Inter na alivyoenda Spain la EPL kajenga mwili Kuwa mgumu la sivyo mabeki ovyo wanaweza ku kupeleka out six month out.Suarez na Sturridge ndo walifanya unayoyasema. Anyway, tusubiri msimu ujao tuone watakachofanya, yaliyopita si ndwele...
Duuh..hilo nalo neno. Eti beki wako anakuwa Pepe dkk yyte anawagharimu.
Bulldog kwahiyo kuhusu Ghana habari za kweli? Kama Kweli nafikiri wangemrudisha na Andre Ayew baba yake akampokee Airport akipangwa akumbuke kutowa Pasi naamini Ghana watacheza kwa ushindi juu chini hawawezi kukubali kuona Nigeria imepita wao warudi.
Kevin-Prince Boateng, Sulley Muntari sacked by Ghana
By Kirsten Schlewitz @KDS_Football on Jun 26 2014, 7:23a +
Martin Rose![]()
× Don't Miss The Next Amazing Sports Moment
Follow SBNation.com on Twitter
Like SBNation.com Facebook
Chaos in the Ghana camp, which began with the team demanding unpaid wages, has culminated in two players being sent home - just hours before the Black Stars face off against Portugal.
There's just a few hours remaining until Ghana face Portugal in one last bid to progress to the next round of the World Cup, but over the past few days, the team has been thrown into chaos. The disputes reached a head this morning, when coach Kwesi Appiah announced that Kevin-Prince Boateng and Sulley Muntari had been sacked.
On Tuesday, Boateng and Muntari fought during training. Ramifications escalated when Boateng then allegedly insulted coach Akwasi Appiah. As if that weren't enough, there are reports that Muntari assaulted a Ghana management committee member on Wednesday.
A wider rebellion also occurred on Tuesday, with much of the team protesting over monies owed. The Black Stars threatened to not make the trip to the capital, where they are set to play Portugal, unless the money was delivered. $3m, cash, was flown in on Wednesday and transported through the streets of Brasilla to the team's hotel.
Muntari started Ghana's two previous matches, but was already set to miss the Portugal match due to an accumulation of yellow cards. Boateng, who's already drawn criticism for "retiring" from international duty, only to return for the World Cup, did not start against the U.S., and played rather poorly against Germany. Jordan Ayew and Emmanuel Badu are the likely replacements, but with Ghana in such chaos, it's difficult to know what might occur in the next few hours.
SOURCE: Kevin-Prince Boateng, Sulley Muntari sacked by Ghana - SBNation.com
Hata wazungu wanashida zao wanangata Kama a Suarez na Oliver Khan alivyomngata Dortmund Player ila Ghana watulie tu sie tatizo letu akili ya mpira Kama Yaya Toure mtu anataka Kuwa Group la kina Messi ila DK za mwisho baada kwenda na mpira pembeni atumie mwili wake anataka kufunga, japo sio Penalt tunabaki lawama kwa refa ila Waafrica Wenzetu hatuwapi lawama hii inatokana na damu nzito kuliko maji, kuna matokeo tukifungwa goli kwa mkono au kuzuiliwa goli kwa mkono tutakasirika maneno kibao Waafrica ila tungepata sie kwa njia hizo tungeshangilia mpaka mwisho, zaidi ya hapo bora mtu anipige Ngumi au Kipepsi au Kichwa nikicheza mpira kuliko kuningata au kunitemea mate au anivunje mguu nisicheze maisha dah hapo sikubaliani.Shida nidhamu mkuu, sio kupita.
Waafrica tuna shida hapo
Let's see!However, the-off-the field incidents are likely to overshadow events on the pitch and severely damage Ghanaian football's reputation.
Hizi Tetesi za Ghana Prince Boateng na Muntari kufukuzwa timu ni za kweli au? Wanasema kuna viongozi wa timu wamepigwa kwahiyo Manager kawafukuza timu na hii baada ule mshiko wao wachezaji wa Ghana kupatiwa.
Let's see!
Hata wazungu wanashida zao wanangata Kama a Suarez na Oliver Khan alivyomngata Dortmund Player ila Ghana watulie tu sie tatizo letu akili ya mpira Kama Yaya Toure mtu anataka Kuwa Group la kina Messi ila DK za mwisho baada kwenda na mpira pembeni atumie mwili wake anataka kufunga, japo sio Penalt tunabaki lawama kwa refa ila Waafrica Wenzetu hatuwapi lawama hii inatokana na damu nzito kuliko maji, kuna matokeo tukifungwa goli kwa mkono au kuzuiliwa goli kwa mkono tutakasirika maneno kibao Waafrica ila tungepata sie kwa njia hizo tungeshangilia mpaka mwisho, zaidi ya hapo bora mtu anipige Ngumi au Kipepsi au Kichwa nikicheza mpira kuliko kuningata au kunitemea mate au anivunje mguu nisicheze maisha dah hapo sikubaliani.
Waafrica tunatia aibu sana kwakweli
Operesheni zima moto! Mtindo huu sio unaangamiza soka pekee barani Afrika ni pamoja na kudumaza shughuli zote za kimaendeleo!World Cup 2014: Ghana sends $3m cash to players in Brazil
He added: "The government had to mobilise the money and a chartered flight to Brazil."
Ghana must beat Portugal in their final Group G game on Thursday to have any chance of staying at the World Cup.