World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

USA deserved to go thru!Ghana nguvu nyingi akili kidogoooo!Ureno wanaenda out sababu ya kadi ya kijinga ya Pepe game ya kwanza!Afrika bado sanaaaaa kwenye soka

Portugal walikosea mechi ya kwanza na hyo ndio iliwaua wao
 
kitendo cha FA ya ghana kuwacheleweshea hela kimedhoofisha sana molali ya wachezaji. hii ni wiki ya pili hamna hela unategemea nini? tuwashangilie algeria baadaye

Wangeweka taifa mbele
 
Portugal defeated Ghana 2-1 to move level on points with USA, but still bow-out of the tournament as the USA has a better goal difference
 
USA wanastahili mafanikio haya!Group of death hamna aliyekuwa anawapa nafasi!Hawa watu wanatumia hela nyingi sana kuwekeza kwenye soka!Matunda ya uwekezaji wa mabilion yanaanza kuonekana sasa
 
Afrika tunavuna tulichopanda...viongozi mafisadi kila kona! Tanzania ndio maprofesa idara hiyo.
 
USA wanastahili mafanikio haya!Group of death hamna aliyekuwa anawapa nafasi!Hawa watu wanatumia hela nyingi sana kuwekeza kwenye soka!Matunda ya uwekezaji wa mabilion yanaanza kuonekana sasa

Tanzania tungeanza mwaka 2005 leo hii tungeweza hata tokea makundi
 
Back
Top Bottom