Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Heaven on Earth turudi zetu kule kwa Gwajima....
nisubiri twende wote tu hapa hakuna jipya tena
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven on Earth turudi zetu kule kwa Gwajima....
Uruguay wangefika mbali sana...jamaa alibugi sana.
BREAKING: FIFA have said Luis Suarez is not allowed to stay in Uruguay's team hotels in Brazil for the rest of the World Cup.
USA deserved to go thru!Ghana nguvu nyingi akili kidogoooo!Ureno wanaenda out sababu ya kadi ya kijinga ya Pepe game ya kwanza!Afrika bado sanaaaaa kwenye soka
nisubiri twende wote tu hapa hakuna jipya tena
Marekani ikitokea ikaendelea mbele basi mashabiki wataongezeka Brazil
Ghana are eliminated from the World Cup after a 2-1 defeat to Portugal.
kitendo cha FA ya ghana kuwacheleweshea hela kimedhoofisha sana molali ya wachezaji. hii ni wiki ya pili hamna hela unategemea nini? tuwashangilie algeria baadaye
Wangeweka taifa mbele
Majamaa wanaanza kuja kasi kwenye soccer, WC ijayo tutawakimbia
USA wanastahili mafanikio haya!Group of death hamna aliyekuwa anawapa nafasi!Hawa watu wanatumia hela nyingi sana kuwekeza kwenye soka!Matunda ya uwekezaji wa mabilion yanaanza kuonekana sasa
FIFA walipeleka hela wiki 2 kabla ya mashindano kuanza zilikuwa wapi?
Afrika tunavuna tulichopanda...viongozi mafisadi kila kona! Tanzania ndio maprofesa idara hiyo.
nisubiri twende wote tu hapa hakuna jipya tena
German and USA passes to the next round....
kipa wa Portugal analiaje sasa