Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaikimba mwingine huyu....Mwaikimba nje jo ndani!
Ukweli mchungu sana leo, tunafungwa na kutolewa.
teamchile tuhesabu bao la pili brazil wamechoka
Hili refa linakera sana linatukandamiza
Ukweli mchungu sana leo, tunafungwa na kutolewa.
Hahaha ach tu tamu chungu
Presha inapanda na kushuka ni shida kwa kweli.
Hii ngoma watu wamepanic kabisa, brazuu mpoo? Mbona mmepungua humu?
Hawa Brazil naona sasa wameamua kuanza mchezo wa kutafuta Penalt kwa nguvu