World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii ngoma watu wamepanic kabisa, brazuu mpoo? Mbona mmepungua humu?
 
Hawa Brazil wangekutana na kina Roben na Van Persie wangewafunga mengi sana leo
 
Toa Neymar pia toa Hulk ingiza Willian na Ramirez waka drive mido iliyozidiwa sana na Sanchez na Vidal ili kidogo muende dakika 120,la sivyo Chile anamaliza game hii dakika ya 90 tu
 
Back
Top Bottom