World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil...ukiukosa mpira hakikisha humkosi mtu! Kweli mpira wa leo ni tofauti na ule wa mwaka wetu!
 
BAK,Edy n Ed,Skype...munaona tactic za wenzetu...mpira unafichwa sio Team Africa hatujui hat kucheza na muda tunakimbizana tuHatujui hapa tumezidiwa tujipange,uchoyo,umimi...dah hivi tutawahi kucheza hata fainali kweli?au tuanzishe kombe la dunia yetu Africa

Sifa zetu za Africa zitabaki ivo ivo tu siku zote tuko very slow

Siku timu ya Africa yoyote ikifika nusu fainali sita shabikia ligi za nje ntakomaa na za hapa hapa kwetu

Bora hata FIFA watupe kombe la washangiliaji tusiokata tamaa na #teamAfrica
 
Back
Top Bottom