ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
wakati hapa ndio mwisho wao burazil..Hivi kuna kocha aliyewahi kulibeba hili kombe mara mbili? Je Scolari anaweza kuwa wa kwanza au ndo ataendeleza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati hapa ndio mwisho wao burazil..Hivi kuna kocha aliyewahi kulibeba hili kombe mara mbili? Je Scolari anaweza kuwa wa kwanza au ndo ataendeleza?
Brazil wakichapwa huenda yale maandamano yakaibuka upya...!
alaa! Kumbe!
BAK,Edy n Ed,Skype...munaona tactic za wenzetu...mpira unafichwa sio Team Africa hatujui hat kucheza na muda tunakimbizana tuHatujui hapa tumezidiwa tujipange,uchoyo,umimi...dah hivi tutawahi kucheza hata fainali kweli?au tuanzishe kombe la dunia yetu Africa
Hili kombe Brazil hawabebiHivi kuna kocha aliyewahi kulibeba hili kombe mara mbili? Je Scolari anaweza kuwa wa kwanza au ndo ataendeleza?
Yuko wapi aliyeomba ban?
duh kwel leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
Ntafurahi sana Brazil wakitolewa
Hili kombe Brazil hawabebi
Ntafurahi sana Brazil wakitolewa