Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Wana uraia pacha,hivyo pia ni wafaransa na ni waalgeria pia,Hivyo hakuna mtu anaeweza kuwafutia uraia wao .Watafutiwa residence zao wazungu wanahila sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana uraia pacha,hivyo pia ni wafaransa na ni waalgeria pia,Hivyo hakuna mtu anaeweza kuwafutia uraia wao .Watafutiwa residence zao wazungu wanahila sana
sasa beki yenyewe inaongozwa na MERTSACKER unategemea nini??!! samahani lakini...........
Tufahamishane jamani kweli ile ni offside??? Au kama kawa tunabaniwa?
Wajerumani wakifungwa na hii miarabu koko wataniudhi sana. All the best Germany!
Na wamesomea soccer kwenye academies za France,sipati picha wakifika robo fainali,halafu wamfunge France,Ufaransa itanuna maana vijana wamezaliwa na kusomea mpira France
hahaaha mkuu kukosekana kwa hummels ndo maana mambo yamekuwa kama yanavyoonekana
Algeria ndiyo team bora uwanjani so far!
Wajerumani wakifungwa na hii miarabu koko wataniudhi sana. All the best Germany!
Tufahamishane jamani kweli ile ni offside??? Au kama kawa tunabaniwa?
Tufahamishane jamani kweli ile ni offside??? Au kama kawa tunabaniwa?
hawa ALGERIA watakuwa MAKOBE mtu aliefunga hawezi kuwa na speed hii ndio maana kocha wao alikuwa mkali alijua siri imefichuka!!!!!!!!!!!!
Afadhali beki inayoongozwa na MERTSACKER bado inagombania Kombe la Dunia kuliko ile iliyokuwa na garasa (SMALLING) ambalo lisingepata nafasi Nyota Nyekundu SC.
Cc Prondo, DonDonald