World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Afadhali beki inayoongozwa na MERTSACKER bado inagombania Kombe la Dunia kuliko ile iliyokuwa na garasa (SMALLING) ambalo lisingepata nafasi Nyota Nyekundu SC.

Cc Prondo, DonDonald
 
Na wamesomea soccer kwenye academies za France,sipati picha wakifika robo fainali,halafu wamfunge France,Ufaransa itanuna maana vijana wamezaliwa na kusomea mpira France

Senegal 2002 wachezaji karibia wote walikuwa wanachezea ligi ya France... hadi kocha marehemu Bruno Metsu alikuwa mfaransa, na wakapigwa!
 
hahaaha mkuu kukosekana kwa hummels ndo maana mambo yamekuwa kama yanavyoonekana

wale wafaransa nao beki inaongozwa na KOLSCHIENY yaani ilikuwa tia maji tia maji!!! samahani lakini......
 
Tufahamishane jamani kweli ile ni offside??? Au kama kawa tunabaniwa?

_75952248_207d9dfc-c013-4935-a592-386c63e5a3b0.jpg
 
Afadhali beki inayoongozwa na MERTSACKER bado inagombania Kombe la Dunia kuliko ile iliyokuwa na garasa (SMALLING) ambalo lisingepata nafasi Nyota Nyekundu SC.

Cc Prondo, DonDonald

The best centre back pair in EPL (Per &Laurent)
Ilifungwa 5-0,6-3 na 6-0
 
Back
Top Bottom