Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kwanini yale magoli ya mwisho yasiwe yanatokea kwa timu za Afrika?
Kwanini bahati ziwe kwa hizo timu zingine zisizo za Afrika
Bado banaaa usikate tamaa kunaweza kukawa na matuta.
tpaul tumewakimbia jukwaa lenu la siasa kwa kuepuka lugha kama hizi zako!Lkn hadi huku unatufuata?Sisi tupo hapa weeks ya 3 inaenda sasa hatujawahi kuandikia lugha kama zakoMkuu jukwaa la Sports ni "Upendo" hayo majina sio vizuri kutumia kwenye jukwaa hili
Mpira haujaishi lazima Algeria turudishe goli na tuongeze goli la ushindi.
#TeamAlgeria
Hili nalo ni neno muhimu.... kwanini haiwi kwetu?
Afrika tumelaaniwa!
Matuta wakati waarabu wameishalewa kaka ki1
Algeria wangepangiwa timu "vibonde" kama France, Brazil ..... sasa hivi watu tungekuwa tunazungumzia Algeria ndani ya last 8
Dah kwanini yale magoli ya mwisho yasiwe yanatokea kwa timu za Afrika?
Kwanini bahati ziwe kwa hizo timu zingine zisizo za Afrika
#team NetherlandsKilichobaki ni [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=team]#team [/URL] brazil