World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mnaona waafrika wenzetu Algeria jinsi wanavyo sakata mpira? Sie Tanzania mpaka leo mwaka 2014 tunategemea uchawi ili tushinde matokeo yake tunabamizwa hata na Somalia kama vile wajinga.
 
Kona goli..kona goli..moja mbili daah hii suicide,anakosa goli la wazi
 
Mkuu jukwaa la Sports ni "Upendo" hayo majina sio vizuri kutumia kwenye jukwaa hili

Mpira haujaishi lazima Algeria turudishe goli na tuongeze goli la ushindi.

#TeamAlgeria
tpaul tumewakimbia jukwaa lenu la siasa kwa kuepuka lugha kama hizi zako!Lkn hadi huku unatufuata?Sisi tupo hapa weeks ya 3 inaenda sasa hatujawahi kuandikia lugha kama zako
 
Last edited by a moderator:
Chenga zote hizo za kazi gani bana sisi twataka magoli tu hapa
 
Algeria wangepangiwa timu "vibonde" kama France, Brazil ..... sasa hivi watu tungekuwa tunazungumzia Algeria ndani ya last 8

Mkuu waambie wasubiri 2018 labda watabahatisha Kupangiwa vibonde!:Hapa ni mkong'oto tu! Tunaenda tena!!
 
Basi tena, wamejitahidi walivyoweza...tujipange kwa mwaka 2018 labda na Tanganyika tutatinga huko baada ya kuwatokomeza hawa mafisadi waliotudumaza kisiasa, kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kimazingira...kwa miaka 50!
 
Back
Top Bottom