juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
USA waliimaliza game hii dakika ya 90!!Unakosa vipi nafasi kama ile jamani?
Ajabu mkuu!dah,kichwa kikichoka mtu anafanya mambo ya ajabu.anyway,US wamejitahidi sana kubeba huu mzigo hadi sasa.extra time chochote kinatokea manake wote wamechoka kwa hii tempo,hivyo lack of concentration na strength in depth ya individuals huenda ikaamua mechi.hii sub ya lukaku ni mzigo mzito kwa US