World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

USA waliimaliza game hii dakika ya 90!!Unakosa vipi nafasi kama ile jamani?

Ajabu mkuu!dah,kichwa kikichoka mtu anafanya mambo ya ajabu.anyway,US wamejitahidi sana kubeba huu mzigo hadi sasa.extra time chochote kinatokea manake wote wamechoka kwa hii tempo,hivyo lack of concentration na strength in depth ya individuals huenda ikaamua mechi.hii sub ya lukaku ni mzigo mzito kwa US
 
Mama mdogo lazima anialike ndo maana nashangilia sana....
 
Young drogba vijana wasiopendwa na Morinho wamefanya vitu.
 
Where is Donovan when you need him!?


384x6001.jpg

Klinsman angemdraft tu na kumtumia walau kama sub
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bado mapema, USA walivyo na never-say-never wanaweza kusawazisha. Walianza Extra 30 vizuri kabla ya goli
 
ebana aliyefunga goli si ndo yule dogo aliyetemwa na Chelsea au nimechanganya? DonDonald, Pazi
 
Back
Top Bottom