Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he has been here but the internet disappointed him....very badly team colombia we could not make itwhere is he???I have been looking for him over and over
Sasa Hamez Rodriguez analia nini? Yaani anaamini wangeifunga Brasil ama? Au analia kwa kuwa ndiyo anaweza asicheze tena kombe la dunia?
Sasa Hamez Rodriguez analia nini? Yaani anaamini wangeifunga Brasil ama? Au analia kwa kuwa ndiyo anaweza asicheze tena kombe la dunia?
Nampenda Davdi Luiz,i wish angekuwa mwanangu,anavyomkumbuka Mungu
kuna mtu aliwahi kupigwa risasi??
nimeumia sana leo.... hasa nilivyomuona Rodigruez analia.... nataman kulia
Neymar anaweza kuwa kaumia sana, jamaa kampiga na goti mgongoni.
Kama kawa #TeamHollandKesho Team Europe tujuane kabisa,i mean team Belgique na Team Holland
fact kwa mara ya kwanza team anayoshangilia Katavi leo imeshinda
Best team has been knocked out!!