World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Much love and respect kati ya hawa Waamerika ya kusini. Sijawahi kuona Wabrazil wana-embrace wachezaji wa mataifa mengine kama wanavyofanya kwa wasouth America wenzao. Tusubiri wakicheza na Germany tuone kama watawapa love kama walivyofanya kwa Chile na Colombia.
 
mpira huu umenifuta machozi, mechi ya kwanza nilitoka nahuzuni sana kwa france kuchapwa kwa kucheza chini ya kiwango
 
Sasa Hamez Rodriguez analia nini? Yaani anaamini wangeifunga Brasil ama? Au analia kwa kuwa ndiyo anaweza asicheze tena kombe la dunia?

Anawaza atakavyocharazwa fimbo na wabwia unga airport wakati wanarejea nyumbani.
 
Kesho Team Europe tujuane kabisa,i mean team Belgique na Team Holland
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nataka brazil ifike hadi final lakini isichukue kombe, thats wat i wish for, coz ikitolewa b4 final naona mechi zitakazobaki zitapwaya.
 
Back
Top Bottom