Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brazil haikushiriki kutafuta washiriki wa WC kwa sababu ya wenyeji
Kama unaona kiwango chao kinakua kila siku ni vyema na haki Mkuu, mtajipima vyema na hicho kiwango chenu kinachokua kwa Mkoloni.
And good lucky, because you'll need it!
Sasa wanaimba nyimbo za mataifa yao
Origi hakuimba wimbo wa taifa la Belgium
Plz Plz ukiamaua kubadilisha mawazo plz usichague timu ninayotaka ishinde
ARGENTINA.....sema tena....!
Huko nimeishia Tazara pale kiwanda cha bakhressa, sijavuka kwenda kulia wala kushoto wala huko mbele ya hayo mataa.
Timu yetu imeanza kwa moto mkali sana