World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil haikushiriki kutafuta washiriki wa WC kwa sababu ya wenyeji
Kama unaona kiwango chao kinakua kila siku ni vyema na haki Mkuu, mtajipima vyema na hicho kiwango chenu kinachokua kwa Mkoloni.
And good lucky, because you'll need it!

Asante kwa kunisahihisha i mean zile mechi ilizokuwa inacheza kwaajili ya WC, mpira unadunda na ni dk 90 zitasema nani ni nani, huyo mkoloni unayemsifia si mzuri kihivyo Wana madhaifu kibao Ghana angekuwa na tekinik nzur mbona angemtoa nishai!!
 
Bryle08IIAAhEol.png
 
Nikiangalia mpangilio wa mfumo naona timu zote zimeamua kutumia 4-2-4
 
Huko nimeishia Tazara pale kiwanda cha bakhressa, sijavuka kwenda kulia wala kushoto wala huko mbele ya hayo mataa.

Ha! Pole hata JKINA hujatia maguu? Natamani nijitolee nikutembeze jaman!! Hapo vingunguti ndo mahakama ya mbuzi ilipo.
 
Back
Top Bottom