Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Di Maria ameshaumizwa, bado Messi.Hakuna kitu nakichukia kama kuumiza wachezaji bora halafu tunakosa uhondo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Di Maria ameshaumizwa, bado Messi.Hakuna kitu nakichukia kama kuumiza wachezaji bora halafu tunakosa uhondo.
Hawa waarjentina wanafungika kabisa.
Argentina wewe je
Hakuna kitu nakichukia kama kuumiza wachezaji bora halafu tunakosa uhondo.
Dahhh...Nakuonea huruma..
Di Maria ameshaumizwa, bado Messi.
Kumbeee Katavi upo Belgium, basi washatoka hao wabeleji si kila timu unayoshabikia inapigwa, hawa nao wanapigwa.
Niko ubelgiji ila tukubali tukatae Messi anatusumbua sana
Perez sio Tevez
Nitatangaza mapeeema, mara baada ya fainali ya pili.
Basi ndo maana tumefungwa basi tena katavi nimeanza kukuona gundu
Leo Argentina lazima ishinde nime promise Mundu kumeza
Nasema kuwa ilitakiwa Tevez aitwe hapo lkn kamuacha kwa personal issues tu!
Ilitakiwa anatoka Di Maria anaingia Tevez sio Perez