Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Belgium wameaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Felain anakosakosa bao la kichwa ni hatari tupu
Huyu jamaa anyne nywele zinampotezea chansi
Mkuu Ed n Edd nEddy
Umetuletea matatizo Team brazil
[MENTION]By Ed n Edd nEddy![]()
Ngoja nikuwahi tu mkuu me ni #teamBrazil all time
[/MENTION]
Felain akiwa timu ya taifa anapiga soka la uhakika ila akiwa kwenye club ni bure kabisa
Teama Belgium kunyweni maji mengi,kipindi hiki mtakimbizwa mara mbili...!
umekata tamaa mapema
Kocha argentina ana midadi balaa.....
sio anachofanya humo ndani..
Makocha ni wajanja watukutu wanapunguza molari ya wachezaji.Okay okay nimekupata, hata nimeshangaa sana kocha kumuacha Tevez
Si unaona mambo yenyewe hapa
Felain akiwa timu ya taifa anapiga soka la uhakika ila akiwa kwenye club ni bure kabisa