World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?

  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Maoni na maono yangu - 'wakuu' walitaka Messi ashinde hadi kuwapora waMisri ushindi dhidi ya Messi
 
Awapi hiyo sio kweli....niambie siku uliyoiona timu ya Argentina wanacheza soka safi...ni kivuli cha messi tu ndicho kinaifanya Argentina iogopwe ila kiuhalisia ni timu ya kawaida tu hata kufika final ni kutokana na upuuzi wa Tuchel
Kwahiyo kuwa timu bora na namba moja duniani nini maana yake? Kwanini isiwe spain, france au uingereza??
 
Kwahiyo kuwa timu bora na namba moja duniani nini maana yake? Kwanini isiwe spain, france au uingereza??
Anaeweka kuwa timu fulani iwe namba moja ni nani na anatumia vigezo gani? Nakumbuka wakati fulani messi alipewa tuzo ya mchezaji bora duniani ila ilileta mpasuko mkubwa mno katika dunia ya soka
 
Wewe kama ni mtu mpira ni aibu kuongea hayo
Je mwenzangu uliziona mechi za Argentina ama ile dhidi ya Misri? Aibu iwe nawe kama we ni mpenzi kweli wa mpira kiujumla bila ushabiki

View: https://youtu.be/kulNi1-od2o?si=PH2XoOu-J_JhNi2x

Bofya neno 'watch on youtube' chini ya neno la njano BANIDOS kusikiliza kwa lugha ya kiingereza
Kylian Mbappé won the Golden Boot at the 2026 FIFA World Cup. The French forward claimed the top scorer award by scoring 10 goals during the tournament, sealing his victory in France's third-place match
 
Unaweza kuthibitisha kama walibebwa!

Final na spain huo ndio mchezo wanaochezaga Argentina siku zote?? Au na hapa utasema walibebwa lakini hawakubebeka!!!
 
KAwapi hiyo sio kweli....niambie siku uliyoiona timu ya Argentina wanacheza soka safi...ni kivuli cha messi tu ndicho kinaifanya Argentina iogopwe ila kiuhalisia ni timu ya kawaida tu hata kufika final ni kutokana na upuuzi wa Tuchel

Mpaka kufika final na kutwaa ubingwa tasema timu mbovu hiyo!! Hivi huwa unafuatilia mechi za Argentina kweli! Au mahaba yamezidi kwa mchezaji na flani ndio maana unaongea hayo!
 
Mpaka kufika final na kutwaa ubingwa tasema timu mbovu hiyo!! Hivi huwa unafuatilia mechi za Argentina kweli! Au mahaba yamezidi kwa mchezaji na flani ndio maana unaongea hayo!
Kufika final haimaanishi kwamba wewe ni bora kuliko wote ndio maana hata huku afrika marumo gallant alifika final ya shirikisho je napo utasemaje?mimi sifuatilii mpira kwenye simu ila nimecheza ligi daraja la tatu
 
Anaeweka kuwa timu fulani iwe namba moja ni nani na anatumia vigezo gani? Nakumbuka wakati fulani messi alipewa tuzo ya mchezaji bora duniani ila ilileta mpasuko mkubwa mno katika dunia ya soka
Messi ballon d'or zake nne zilileta ukakasi.
Mbili za mwanzo hazikuwa na shida, baada ya hapo katika sita zolizobakia ni mbili TU zilikuwa halali
 
Messi ballon d'or zake nne zilileta ukakasi.
Mbili za mwanzo hazikuwa na shida, baada ya hapo katika sita zolizobakia ni mbili TU zilikuwa halali
Unapokuja na neno "si halali" ni vyema ukaambatanisha na takwimu za huyo unae ona anastahili kwako
 
Nakuuliza wewe hapo kwasababu hata ubelgiji amewahi kuwa namba moja duniani na Kuna wakati messi alipewa ballon d'or ambayo yeye mwenyewe alijisikia aibu kuipokea
Shida yenu mnakuja na neno hakustahili mara si halali bila kuweka takwimu za huyo mnaesema anastahili😄 Mashabiki wa ronaldo bwana hahaaa.

Weka ya messi
Weka ya huyo unae ona kaonewa

Nasubiri jibu
 
Unapokuja na neno "si halali" ni vyema ukaambatanisha na takwimu za huyo unae ona anastahili kwako
Hizo takwimu zilishawekwa humu watu wakajadili,wataalamu ,wanamichezo na wadau mbalimbali wa michezo.
Wakati mwingine takwimu pekee haziamui usahihi wa jambo.
Mfano unaweza kusikia Trump apata tuzo ya Nobel lakini ukija ground yeye ndiye mvunja amani,.
Hapa nyumbani kuna kocha alipewa kocha Bora wa msimu,wakamwacha kocha wa yanga ambaye alimkuwa na msimu Bora mwaka huo
 
Back
Top Bottom