The Icebreaker, GENTAMYCINE, poleni sana wakulungwa. Mpira ni mchezo wa kikatili. 😊
Niliwaambia lakini.
Niliwaambia lakini.
Furaha imenizidia huku mpaka usingizi umekata. Wife aliniahidi kuwa Spain akitwaa ubingwa kuanzia leo mpaka mwezi unaisha nitakuwa naichapa asubuhi, mchana na usiku. Enewei wacha broiler alale pemaThe Icebreaker, GENTAMYCINE, poleni sana wakulungwa. Mpira ni mchezo wa kikatili. 😊
Kipa wa Argentina alimkata jicho mwenzake wa Spain wakati anakabidhiwa golden glove. Na vile alivyokuwa na nongwa.
Simba na yanga hivi watafika lini kucheza hivi?Wanastahili hawa Jamaa, njia walizopita Hadi fainali ni ngumu Sana, Argentina bahati na Messi ndio kawabeba...Spain technically wako vizuri Sana, wahispaniola wanajua Sana mpira tuacheni utani, wachezaji wao kiufundi wako vizuri Sana...
Ni kama Simba inavyoshindwa kubebeka na juhudi za TFF/BodiIMESHNDWA KUBEBEKA
Dada?Woyooooooooo Messi wa nyokweeee 😹😹😹😹
Endelea kushabikia rede maana hili swali lako..Simba na yanga hivi watafika lini kucheza hivi?
Uwekezaji mzuri wa makuzi sahihi ya watoto hasa academy zao, mfano ni La Masia...Mpira ni kama Sayansi, mfano wale vijana wa under 16 tulionao wakiwekewa mazingira mazuri ya muendelezo wao Kwa maana ya kuwapeleka abroad kupata mafunzo ya juu na kuwaacha kule kule kwenye promising league after few years tutakuwa na timu nzuri ya taifa , Kwa Hapa nchini hakuna mazingira yyte mazuri ya kuwategengeneza vijana kiushindani wa kimataifa...Simba na yanga hivi watafika lini kucheza hivi?
Jambo lako limetimia!Uzuri sina timu ninayoishabikia kwenye huu mchezo. Timu yangu ya Ufaransa imeniangusha. Ahueni Mbape aingia nyavuni mara mbili. Leo nitafarijika kuona Messi anakabwa mpaka kivuli chake ili tu asifunge.
Nimeuliza lini mpira wetu watu wataweza kucheza kwa namna hio maana huku ni butua butua, wachezaji hawaeziEndelea kushabikia rede maana hili swali lako..
Usisahau on target ni 0
Awapi hiyo sio kweli....niambie siku uliyoiona timu ya Argentina wanacheza soka safi...ni kivuli cha messi tu ndicho kinaifanya Argentina iogopwe ila kiuhalisia ni timu ya kawaida tu hata kufika final ni kutokana na upuuzi wa TuchelPia jiulize why 0!!! Kwa timu bora no1 in the world!!! Hujiulizi tu kuna nini behind the door!!! Taarifa nyingi zinasambaa mitandaoni, inaonekana Argentina wamelazimishwa kulose hiyo final