World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?

  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Rangi za upinde kibao kwenye burudani...ila Spain wakiendelea kupiga hizi pasi bila kufumania nyavu mambo yatakuwa sio upande wao...wanachohitajika second half ni uharaka na kuwa clinical...
 
So far hatujapata ile ladha ya fainali. Ni kama Yanga inacheza na Singida. Ngoja tuone sec half labda.
 
USA hapaswi tena kuandaa haya mashindano, ni upinde upinde tu.
 
Eti wanadai messi anausoma mchezo🤣🤣🤣🤣🤣🤣tumuache aendelee kujisomea
 
Wale ni Latin, Spain aliwahi kuwa mkoloni wa Argentina ameitawala na hata lugha wanangea kihispaniola. Asilimia kubwa ya watu wa Argentina origin yao ina mizizi ya uhispaniola. Lile bara wahindi wekundu tu ndiyo kwao kiasili, wengine ni zao la ukoloni
Ni sawa, lakini ukiwaangalia ni kama waarabu, angalia wengine wanachonga na ndevu ukiwaangalia vizuri unaweza sema waarabu.
 
Messi anasifiwa kupitiliza kila siku huwa nasema humu...GOAT Hana on target 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna Waarabu toka Morocco wanaoishi huko wengi tu. Pia ile nchi ilikuwa sehemu ya Ottoman, wameacha masalia yao pale. Unaowaona wengine ni waturuki si waarabu
 
Back
Top Bottom