World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?


  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Kufukuza upepo ni kazi ngumu, wakiishiwa pumzi wanakuwa wanapokezana
Hizi Pasi fupi fupi za spain ni kama vile Arg wamekosa mbinu ya kuzivunja ili wamchezeshe Messi au Messi achezeshe timu kama kawaida yao.
 
Hizi Pasi fupi fupi za spain ni kama vile Arg wamekosa mbinu ya kuzivunja ili wamchezeshe Messi au Messi achezeshe timu kama kawaida yao.
Ni kama messi ameachwa au hawajui namna ya kudhibiti mchezo wa spain
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wazee wanaanza kuumiza watoto lakini kukandwa kuko pale pale leo 😹
 
FT
0-0
Man of the match martinez.
 
Back
Top Bottom