akikujibu nitagSpain wanacheza rafu? Unaangalia mechi hii hii au nyingine?
HahahaHata refa hajui kwanini kakataa 😀😀😀
mwenyewe naangalia foul siioniDuh, Goli limekataliwa sijajua kwanini.
Spain fowardline watoto hii mechi isoende penalties
Yaani utotoSpain fowardline watoto hii mechi isoende penalties
Uzee kakaGOAT anabebwa 😀😀😀
Sijajua kwanini, labda makosa ya kibinadamu.mwenyewe naangalia foul siioni
hapo shida ni mbuzi waoSijajua kwanini, labda makosa ya kibinadamu.
Miaka hiyo bado hatujazaliwa hivyo hatuna cha comment.Hii Argentina kama Uruguay ya 1970s