Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
Shukrani sana mkuu ngojea niendelee kufuatia huu uzi kujua yatakayo tokea.Yup!
Shukrani sana mkuu ngojea niendelee kufuatia huu uzi kujua yatakayo tokea.Yup!
Moja ya mechi watu waliichukulia rahisi nawahurumia sana wakamaria..Huwezi kushinda WC kwa kucheza kihunihuni mwanzo mwisho. Dirty bastards.
Nikiwemo mimi
Spain wanacheza rafu? Unaangalia mechi hii hii au nyingine?Spains are too dirty...wanacheza rafu sana
Mkuu hao waliovaa white and blue ni Argentina.Spains are too dirty...wanacheza rafu sana
Nadhani unaangalia kishabikiSpain wanacheza rafu? Unaangalia mechi hii hii au nyingine?
Hata refa hajui kwanini kakataa 😀😀😀Duh, Goli limekataliwa sijajua kwanini.
Melekezo ilimradi goat abebeHata refa hajui kwanini kakataa 😀😀😀
Foul haionekani na VAR haihusikihapo foul iko wapi sasa