Wenyewe nasikia wanamaanisha greatest of all timeKirefu cha GOAT ni nini?
Kwa Argentina hii?Huu mpira Spain wakikosa focus kidogo wameumia
Sasa All time inapimwa kwa mechi ya leo tu?Wenyewe nasikia wanamaanisha greatest of all time
Nimekumiss ujueNi muda wa Gen Z Yamal 🔥
Hawatabiriki kabisa haoKwa Argentina hii?
😀Nimekumiss ujue
Au 120.Mwamuzi wa mwisho ni Dk 90
Ila so far kazidiwa.Argentina atakuwa mshindi
Uliuliza makusudi?Sasa All time inapimwa kwa mechi ya leo tu?
Akilazimishwa. Maana wao ndo wanashambulia Arg wanazuia.Spain akilazimisha matuta hatoboi. Argentina kipa wanaye.
Kufukuza upepo ni kazi ngumu, wakiishiwa pumzi wanakuwa wanapokezanaIla so far kazidiwa.
Utoto mwingi. Kwa kipa yule, anapiga shuti kama miguu haina nguvu.Ni muda wa Gen Z Yamal 🔥