World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?

  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Wanastahili hawa Jamaa, njia walizopita Hadi fainali ni ngumu Sana, Argentina bahati na Messi ndio kawabeba...Spain technically wako vizuri Sana, wahispaniola wanajua Sana mpira tuacheni utani, wachezaji wao kiufundi wako vizuri Sana...
 
Waspanyola usiku huu watalewa mpaka wengine watakufa. Kesho asubuhi Ambulance ni mwendo wa kuokota majeruhi barabarani
 
Wanastahili hawa Jamaa, njia walizopita Hadi fainali ni ngumu Sana, Argentina bahati na Messi ndio kawabeba...Spain technically wako vizuri Sana, wahispaniola wanajua Sana mpira tuacheni utani, wachezaji wao kiufundi wako vizuri Sana...
Ni vile tu watoto bado hawajakomaa namna ya kumaliza mechi vinginevo leo watu wangelala na machungu makubwa sanaa wangefunga magoli mengi sana..
Pata picha 90minutes mtu hajaruhusiwa kulifikia goli..
 
Back
Top Bottom