World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?


  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Ni vile tu watoto bado hawajakomaa namna ya kumaliza mechi vinginevo leo watu wangelala na machungu makubwa sanaa wangefunga magoli mengi sana..
Pata picha 90minutes mtu hajaruhusiwa kulifikia goli..
Kweli wangekuwa wakatili mechi ingeisha mapema Sana hii, Argentina anaonekana kama kabahatisha kufika fainali maana anategemea moments na maajabu ya Messi.
 
3371.jpg
 
Kipa wa Argentina alimkata jicho mwenzake wa Spain wakati anakabidhiwa golden glove. Na vile alivyokuwa na nongwa.
 
Argentina walikuwa na uwezo wa kufunguka..
Sijui nini kilitokea..
Wee kwa ile Spain na building up wafunguke. Walishashikwa kuanzia ksti kuja juu, mabeki wao ndiyo walikuwa watulivu lekee. Wakipanda mara nuingi wanakatwa kati au mpira ukipita kufika kwa mabeki hauna madhara

Wangefunguka zaidi wapande yule mtoto wa 2007 angeleta maumivu mapema sana, kama si kufunga basi angetoa pasi matata ya goli
 
Back
Top Bottom