Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ni shangwe kaka kwa CulersUmeweka G&G hiyo ni hofu
Ni shangwe kaka kwa CulersUmeweka G&G hiyo ni hofu
Sisi Mashabiki wa Real Madrid tupo na taifa letu Spain. Na Kombe linatua Madrid kwa mfalme na sherehe na gwaride zitafanyika MadridWewe ni timu Ronaldo, hii fainali haiwahusu. Fainali yenu ilikuwa ya mshindi wa tatu ishapita
Sisi mashabiki wa Barça na Messi hii fainali ndio yetu sasa ni win-win situation
Uchaguzi ni wenu timu goti mwitu:
- Messi abebe ndoo azidi kumkanda goti mwitu wenu Cristina
- Au janja Yamal anyayue awapake maneno ya shombo
Mashabiki wa ronaldo taaratibu mmeanza kuingia kwenye familiaSpain bingwa save hii
Hata kama ningekuwa simshabikii Ronaldo ila ukweli ndo huo, Leo maji na mafuta lazima yajitengeMashabiki wa ronaldo taaratibu mmeanza kuingia kwenye familia
Mechi ya leo ni MKOLONI VS KOLONI lake, wote wanaongea lugha moja iliyotoka kwa mkoloni. Tusubirini tu mwisho wa mechi
Wale ni Latin, Spain aliwahi kuwa mkoloni wa Argentina ameitawala na hata lugha wanangea kihispaniola. Asilimia kubwa ya watu wa Argentina origin yao ina mizizi ya uhispaniola. Lile bara wahindi wekundu tu ndiyo kwao kiasili, wengine ni zao la ukoloniHalafu Argentina na spain kama waarabu