Nawatakia kila la heri Spain wachukue kwa mara ya pili kwani Argentina wameshatwaa mara tatu hii ya nne hapana.
Itakuwa ni mechi ya kukata na shoka kwani inakutanisha timu mbili ambazo kando ya kuongea lugha moja Spanish, zinacheza mpira wa kushambulia, hazina ile staili mbovu ya kupakipaki basi.
I predict the match to be decided in regulation 90 minutes, I don't see it extending to the extra time.