ushaingia ubaridi tayari yaani team messu ujifanye una mahaba na Yamal🤣🤣🤣🤣 huu ni zaidi ya unafiki....watakaolia leo ni messu na shoga yake infantinoWewe ni timu Ronaldo, hii fainali haiwahusu. Fainali yenu ilikuwa ya mshindi wa tatu ishapita
Sisi mashabiki wa Barça na Messi hii fainali ndio yetu sasa ni win-win situation
Uchaguzi ni wenu timu goti mwitu:
- Messi abebe ndoo azidi kumkanda goti mwitu wenu Cristina
- Au janja Yamal anyayue awapake maneno ya shombo
Labda kuwe na Rose Muhando na wimbo wake nibebe.....ila kwa akili ya kawaida ni ngumu mtu uamini eti Argentina atachukua ubingwaWachawi mko wengi Messiah atawanyoosha mwaka huu mpaka mkonde
Acha mzaha wewe munamkuza mno messu fikiria 2010 wakati Messu yupo wa moto balaa ila alishindwa kufanya lolote lile kule bondeni ...tena nakumbuka kocha wao Maradona naye aliingia mkumbo eti timu ijengwe kwa kumzinguka messu....hatimaye waliishia kula 4 na mjeruman sembuse leo kazeeka ndio alete ajabu kwa vijana wenye damu changa?Hauna timu halafu hutaki Messi afunge!
Usiogope sema timu yako Spain.
Hahaahaaa duhh, patel kibokohahahaha 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 wakamaria hamtamshau mhindiii wc
Ndo maana nasema astaafu. Imagine na WC ijayo awepo halafu afike fainali.Fainali haina mvuto kabisaView attachment 3632474
Hili habebi ng'ooNdo maana nasema astaafu. Imagine na WC ijayo awepo halafu afike fainali.
ushaingia ubaridi tayari yaani team messu ujifanye una mahaba na Yamal🤣🤣🤣🤣 huu ni zaidi ya unafiki....watakaolia leo ni messu na shoga yake infantino
Saa 4 usiku sio mbali. Messi au Yamal sisi shangweLabda kuwe na Rose Muhando na wimbo wake nibebe.....ila kwa akili ya kawaida ni ngumu mtu uamini eti Argentina atachukua ubingwa
Ngoja tuone mkuu.Hili habebi ng'oo
Kwanini unakumbuka 2010 halafu unajisahaulisha 2022!.Acha mzaha wewe munamkuza mno messu fikiria 2010 wakati Messu yupo wa moto balaa ila alishindwa kufanya lolote lile kule bondeni ...tena nakumbuka kocha wao Maradona naye aliingia mkumbo eti timu ijengwe kwa kumzinguka messu....hatimaye waliishia kula 4 na mjeruman sembuse leo kazeeka ndio alete ajabu kwa vijana wenye damu changa?
Umeweka G&G hiyo ni hofuSaa 4 usiku sio mbali. Messi au Yamal sisi shangwe