mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Soma tena
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,... Nature ya Mungu wa wakristo ni Roho mda wote ila Ali manifest in human flesh 1 Tim 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh,...
Muhammad hajawai kumuona allah na akadai amepewa utume na allah ilikuwaje ?
Muhammad alipewaje utume na hajawahi kumuona allah? Yani ilikuwajeKwani mitume wote waliopewa mitume wa israel walimuona Mungu?
tatizo mnasema Paulo alipewa utume na yesu wakati huyo yesu hakuwepo kipindi Cha Paulo na Wala Paulo hakuwa Kati ya wale wanafunzi 12 wa yesu. Huo utume kapewa na Nani.kumbuka pia yesu ni mtume
Kumbuka Mungu kwa wakristo ni Roho sasa kama Yesu aliitoa Roho kwenye mwili ukitaka iwejeHaya huyu.elohi ni Mungu ganiView attachment 2434177
Mitume wa Israel Mungu wao anaitwa Jehovah, mungu Allah ilikuwaje akawaiba akafanya ni wake akaiba mpaka story zao bila kutoa acknowledgement yani kafanya PlagiarismKwani mitume wote waliopewa mitume wa israel walimuona Mungu?
Mitume wa Israel Mungu wao anaitwa Jehovah, mungu Allah ilikuwaje akawaiba akafanya ni wake akaiba mpaka story zao bila kutoa acknowledgement yani kafanya Plagiarism
Kwa nini Allah aliiba story za Mungu Jehovah?ndo ujiulize uislam na ukristo kwanini una fanana.kwanini Allah na yehova mitume yao inafanana.
Kiufupi ukristo ulikuja kuchezewa .ila mafundisho ya ukristo wa kwanza unasema MUNGU MMOJA.kipindi hicho tangu Adam,nuhu,luti, Ibrahim na watoto wake na yakobo na watoto wake walihubiri Mungu mmoja.mpaka musa na ndugu yake haruni.
Akaja Zakaria na mwanae yahaya wote walihubiri Mungu mmoja.akaja yesu ambaye ni( issa)akahubiri Mungu mmoja akaja Muhammad mtume wa mwisho akahubiri Mungu mmoja.
Shida imekuja mlipoleta agano JIPYA hapo ndipo mlipovuruga ukristo wote.na ndo maana wachungaji,mapadre na viongozi was kikristo hawalikubali agano la KALE sababu Lina mafundisho yanayofanana na mafundisho ya UISLAM kitu ambacho wao hawakitaki.
Kumbuka Mungu kwa wakristo ni Roho sasa kama Yesu aliitoa Roho kwenye mwili ukitaka iweje
Soma
Mt 27:50 SUV
Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Kwa nini Allah aliiba story za Mungu Jehovah?
Mitume wa Israel Mungu wao anaitwa Jehovah, mungu Allah ilikuwaje akawaiba akafanya ni wake akaiba mpaka story zao bila kutoa acknowledgement yani kafanya Plagiarism
Israel ni nani?Mwenye kazi ya kutoa roho za viumbe ni israel.yesu aliwezaje kujitoa roho?
Ujibu kwa Nini Muhammad hakutairiwa?Mwenye kazi ya kutoa roho za viumbe ni israel.yesu aliwezaje kujitoa roho?
🤣🤣🤣🤣🤣 World Islamic CupQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Zab 139:7-10 SUV
Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
Ndio nimekupa majibu , Kuna maswali yangu hujibuZaburi ni mashairi.sio maneno ya Mungu
Ndio nimekupa majibu , Kuna maswali yangu hujibu
Kwa Nini Muhammad hakutairiwa ?
Na Israel ni nani?
Hatuongeo bila andiko weka andikoKama tumeambiwa kutahiriwa ni sunna ya Ibrahim.kwanini Muhammad asifuate hyo sunna?wakati alikuwa mjukuu wake?
Huyu Israel ulie mtaja ni nani?Kama tumeambiwa kutahiriwa ni sunna ya Ibrahim.kwanini Muhammad asifuate hyo sunna?wakati alikuwa mjukuu wake?
Hatuongeo bila andiko weka andiko
Muhammad kabla hajaanzisha Uislamu alikuwa mpagani , alivyo Anza Uislam lazima tungepata ata ka Hadith akitairiwa , kama Hadith ya Ibrahim kaweka akasema alijitairi kwa shoka mbona yake kutairiwa haipo popote?
Huyu Israel ulie mtaja ni nani?