World Islamic Cup, 2022 Qatar

World Islamic Cup, 2022 Qatar

Haya huyu.elohi ni Mungu gani
Soma tena

Yohana 4:24: "Mungu ni roho,... Nature ya Mungu wa wakristo ni Roho mda wote ila Ali manifest in human flesh 1 Tim 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh,...
Screenshot_20221203-084204.jpg
 
Kwani mitume wote waliopewa mitume wa israel walimuona Mungu?
tatizo mnasema Paulo alipewa utume na yesu wakati huyo yesu hakuwepo kipindi Cha Paulo na Wala Paulo hakuwa Kati ya wale wanafunzi 12 wa yesu. Huo utume kapewa na Nani.kumbuka pia yesu ni mtume
Muhammad hajawai kumuona allah na akadai amepewa utume na allah ilikuwaje ?
 
Kwani mitume wote waliopewa mitume wa israel walimuona Mungu?
tatizo mnasema Paulo alipewa utume na yesu wakati huyo yesu hakuwepo kipindi Cha Paulo na Wala Paulo hakuwa Kati ya wale wanafunzi 12 wa yesu. Huo utume kapewa na Nani.kumbuka pia yesu ni mtume
Muhammad alipewaje utume na hajawahi kumuona allah? Yani ilikuwaje
 
Kwani mitume wote waliopewa mitume wa israel walimuona Mungu?
Mitume wa Israel Mungu wao anaitwa Jehovah, mungu Allah ilikuwaje akawaiba akafanya ni wake akaiba mpaka story zao bila kutoa acknowledgement yani kafanya Plagiarism
 
ndo ujiulize uislam na ukristo kwanini una fanana.kwanini Allah na yehova mitume yao inafanana.
Kiufupi ukristo ulikuja kuchezewa .ila mafundisho ya ukristo wa kwanza unasema MUNGU MMOJA.kipindi hicho tangu Adam,nuhu,luti, Ibrahim na watoto wake na yakobo na watoto wake walihubiri Mungu mmoja.mpaka musa na ndugu yake haruni.
Akaja Zakaria na mwanae yahaya wote walihubiri Mungu mmoja.akaja yesu ambaye ni( issa)akahubiri Mungu mmoja akaja Muhammad mtume wa mwisho akahubiri Mungu mmoja.
Shida imekuja mlipoleta agano JIPYA hapo ndipo mlipovuruga ukristo wote.na ndo maana wachungaji,mapadre na viongozi was kikristo hawalikubali agano la KALE sababu Lina mafundisho yanayofanana na mafundisho ya UISLAM kitu ambacho wao hawakitaki.

Kwa nini Allah aliiba story za Mungu Jehovah?

Mwenye kazi ya kutoa roho za viumbe ni israel.yesu aliwezaje kujitoa roho?
Kumbuka Mungu kwa wakristo ni Roho sasa kama Yesu aliitoa Roho kwenye mwili ukitaka iweje

Soma
Mt 27:50 SUV
Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
 
Kwani Mungu yehova anakaa wapi kwa mafundisho ya wakristo?
Kwa nini Allah aliiba story za Mungu Jehovah?

Mitume wa Israel Mungu wao anaitwa Jehovah, mungu Allah ilikuwaje akawaiba akafanya ni wake akaiba mpaka story zao bila kutoa acknowledgement yani kafanya Plagiarism
 
Kwani Mungu yehova anakaa wapi kwa mafundisho ya wakristo?

Zab 139:7-10 SUV​

Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
 
Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
🤣🤣🤣🤣🤣 World Islamic Cup
 
Zaburi ni mashairi.sio maneno ya Mungu

Zab 139:7-10 SUV​

Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
 
Kama tumeambiwa kutahiriwa ni sunna ya Ibrahim.kwanini Muhammad asifuate hyo sunna?wakati alikuwa mjukuu wake?
Ndio nimekupa majibu , Kuna maswali yangu hujibu
Kwa Nini Muhammad hakutairiwa ?
Na Israel ni nani?
 
Kama tumeambiwa kutahiriwa ni sunna ya Ibrahim.kwanini Muhammad asifuate hyo sunna?wakati alikuwa mjukuu wake?
Hatuongeo bila andiko weka andiko

Muhammad kabla hajaanzisha Uislamu alikuwa mpagani , alivyo Anza Uislam lazima tungepata ata ka Hadith akitairiwa , kama Hadith ya Ibrahim kaweka akasema alijitairi kwa shoka mbona yake kutairiwa haipo popote?
 
Wewe una aya au hadithi inayosema yesu hajawahi kufanya mapenzi?

Back
Top Bottom