Ulicho andika ndio uthibitisho wa muhammad kutahiriwa?Ww hujawahi na hutowahi kuwa na akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulicho andika ndio uthibitisho wa muhammad kutahiriwa?Ww hujawahi na hutowahi kuwa na akili
Toa ushahidi we bi mdogo mana unamsaidia mke mkubwa
Jamaa alikuwa mkatili Sana , Yani kafa ka Aisha Ndio kana miaka 18 , kumbuka na apo alipiga biti akifa mtu asiguse wake zakeUshahidi upi wakati zaidi ya maandiko kwenye vitabu vyenu, lizee la kiarabu miaka 50 na mindevu yote halikuona aibu kufumua papuchi la katoto ka miaka, na mijasho yote ile ya uarabuni halafu mnaliabudu balaa...
1. Sahih al-Bukhari 810-870 BK, 256 BH
1a. "Alisimulia baba wa Hisham: Khadija alkufa miaka mitatu kabla ya Nabii kuondoka Madina. Alikaa huko miaka miwili au zaidi kisha akamuoa 'Aisha alipokuwa msichana mwenye umri wa miaka sita, na Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
1b. Habari hizo zipo pia kwenye Bukharijuzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.234, uk.152.
1c. "Alisimulia 'Urwa: Nabii aliandika (mkataba wa ndoa) na 'Aisha wakati msichana alipokuwa na umri wa miaka sita na aliikamilisha ndoa yake nay eye kwa tendo la unyumba wakati akiwa na miaka tisa na 'Aisha aliendelea kuwa naye kwa miaka tisa (yaani mpaka kifo cha Nabii). Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 62 sura ya 60 na.88, uk.65.
1d. Alisimulia 'Aisha: Nabii alikuwa akinisitiri kwa Rida (vazi lenye kukinga sehemu ya juu ya mwili) yake nilipokuwa nawaangalia Waethiopia waliokuwa wanacheza kwenye ua wa nyuma wa msikiti. (Niliendelea kuangalia) hadi nilipotosheka. Hivyo unaweza kuelewa ni jinsi gani binti mdogo (ambaye hajafikia umri wa kuvunja ungo) ambaye ana hamu ya kufurahia burudani alivyofanyiwa mambo ya namna hii. Bukhari juzuu ya7 kitabu cha 62 sura ya 115 na.163, uk.119.
1e. "Alisimulia 'Aisha: (mke wa Nabii) sikumbuki kama wazazi wangu waliamini dini yoyote ile isipokuwa dini ya kweli (yaani Uislam), na (sikumbuki) siku yoyote iliyopita bila sisi kutembelewa na Mtume wa Allah asubuhi na jioni." Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 4 na.245, uk.158. Kwa hiyo, 'Aisha ama hakuwa mkubwa ama hakuwa amezaliwa kabisa wakati wazazi wake walipo badili dini na kuwa Waislam. Jambo hili linaendana na yeye kuwa mtoto wakati ndoa yake na Muhammad ilipokamilishwa kwa tendo la unyumba.
2. Sahih Muslim 817-875 BK, 261 BH
Mkusanyiko huu unachukuliwa kuwa wa pili wenye kuaminika zaidi miongoni mwa Hadithi.
2a. "(3309) A'isha (Allah na apendezwe naye) aliripoti: Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake) alinioa nilipokuwa na miaka sita, na niliingizwa nyumbani mwake nikiwa na miaka tisa. (A'isha) Aliendelea kusema: Tulikwenda Madina na nilishikwa na homa kwa muda wa mwezi mmoja, na nywele zangu zilianguka hadi kwenye ndewe (masikioni). Umm Ruman (mama yangu) alikuja kwangu na wakati huo nilikuwa kwenye bembea pamoja na wenzangu ninaocheza nao. Mama aliniita kwa sauti na nilikwenda kwake na sikujua kwa nini aliniita. Alinishika mkono na kunipeleka mlangoni, na nilikuwa ninasema: Ha, ha (kana kwamba nilikuwa natweta kwa mshangao), mpaka msukosuko wa moyo ulipomalizika. Alinipeleka kwenye nyumba ambako walikuwa wamekusanyika wanawake wa the Ansar. Walinibariki na kunitakia bahati njema na kusema: Uwe na sehemu katika mambo mazuri. Mama alinikabidhi kwao. Waliniosha kichwa changu na kuniremba na hapakuwa na kitu kilichonitisha. Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake) alikuja pale asubuhi, na nilikabidhiwa kwake." Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 548 na.3309, uk.715-716.
2b. "(3310) A'isha (Allah na apendezwe naye) aliripoti: Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) alinioa nilipokuwa na miaka sita, na niliingizwa kwenye nyumba yake nilipokuwa na miaka tisa."
(3311) A'isha (Allah na apendezwe naye) aliripoti kuwa Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) alimuoa alipokuwa na miaka saba, na alipelekwa kwenye nyumba yake (Mtume) kama bibi arusi alipokuwa na miaka tisa, na hapa midoli (wanasesere) yalikuwa pamoja naye: na (Nabii Mtakatifu) alipokufa 'Aisha alikuwa na miaka kumi na nane." Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 548 na.3310, 3311, uk.716.
Tukikuwa na mada ya kutahiriwa na tumeifunga Kwa kuthibitisha Muhammad hakutahiriwa
Jibu na Yale mengine
Weka andiko Israel ndie yakub na ilikuwaje jina likabadilika na Israel maana yake Nini?
Ulisema Malaika mtoa Roho anaitwa Israel weka andiko
Tunataka andiko Muhammad katahiriwaNimekwambia kutahiriwa kwa Muhammad ni faragha yake sisi haituhusu.
Ni sawa na yesu unayo aya inayosema yesu hajawahi kufanya mapenzi?
Allah ametuambia wazi Abraham alijitairi mwenyewe kwa shoka , sasa tupe andiko muhmmad alijitahiri au akitairiwaNimekwambia kutahiriwa kwa Muhammad ni faragha yake sisi haituhusu.
Allah ametuambia wazi Abraham alijitairi mwenyewe kwa shoka , sasa tupe andiko muhmmad alijitahiri au akitairiwa
Muhammad said "The Prophet) Abraham circumcised himself after he had passed the age of eighty years and he circumcised himself with an adze." Sahih al-Bukhari 6298
Tunataka andiko Muhammad katahiriwa
Soma biblia ilivyotamu inataja wazi
MWANZO 17
9Kisha Mungu akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wako, wewe utalishika agano langu, wewe binafsi, wazawa wako na vizazi vyao vyote. 10Hili ndilo agano utakaloshika kati yangu na wewe na wazawa wako: Kila mwanamume miongoni mwenu lazima atahiriwe. 11Mtatahiriwa kwa kukata magovi yenu, na hii itakuwa ndiyo alama ya agano kati yangu nanyi. 12Kila mtoto wa kiume wa siku nane miongoni mwenu ni lazima atahiriwe. .....
Tumalize la kutahiriwa kwanzaSasa wewe mbona andiko kuwa yesu hajawahi kufanya mapenzi hauna.
Tumalize la kutahiriwa kwanza , ukisema umeshindwa ndio tunahama madaIla biblia hyo hyo imeshindwa kusema kuwa yesu hajawahi kufanya mapenzi?
Tumalize la kutahiriwa kwanza
Allah katuambia mpaka Abraham alijitairi kwa shoka , tupe na andiko Muhammad kajitahiri au alitahiriwa
Kibinafsi kivipi ? Allah ametuambia Abraham kajitahiri Kwa shoka , hakujua ni swala la kibinafsi la Abraham?Suala la Muhammad kutahiriwa Hilo ni la kibinafsi
Kibinafsi kivipi ? Allah ametuambia Abraham kajitahiri Kwa shoka , hakujua ni swala la kibinafsi la Abraham?
Angefanya ingeandikwa , na ndio maana umeona muhammad hajatairiwa ndio maana haijaandikwasasa mbona biblia imeshindwa kusema Kama yesu hajawahi kufanya mapenzi.haujiulizi?
Angefanya ingeandikwa , na ndio maana umeona muhammad hajatairiwa ndio maana haijaandikwa
Nafikiri umesha hitimisha mwenyewe
Angefanya ingeandikwa , na ndio maana umeona muhammad hajatairiwa ndio maana haijaandikwa
Nafikiri umesha hitimisha mwenyewe
Hakutairiwa na ndio maana haikuandikwa , waliotahiriwa kina Abraham Allah kaandika na mpaka kifaa kilichotumikaSasa mbona Muhammad hauamini kuwa alitahiriwa japo hakuna aya?
Hakutairiwa na ndio maana haikuandikwa , waliotahiriwa kina Abraham Allah kaandika na mpaka kifaa kilichotumika
Kutahiriwa kama ukikuwa hujui ni agano Kati ya Mungu na Abrahamila unaamini yesu hakufanya mapenzi kwa kuwa haijaandikwa?
Nikikuambia kuwa yesu hajawahi kwenda chooni utakubali?
Kutahiriwa kama ukikuwa hujui ni agano Kati ya Mungu na Abraham
Muhammad alikuwa mpagani halikuwa hajui issue zozote za Abraham na kutahiriwa haikuwa utaratibu wa wapagani