World Muslim Link yatoa msaada wa kilo 3 za Maharage kwa yatima kutoka Serikali ya Saudia, Mstahiki Mayor wa Temeke awashukuru

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,067
Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.

Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika imani kwa msaada huu.
 
Yawezekana kuna habari ulitaka kujuza watu, lakini wamebaki kujiuliza ulichoandika ndicho ulitaka kusema au kuna typing error?

Mimi binafsi sijakuelewa.
 
Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.

Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika imani kwa msaada huu.
Kwani kilo tatu kwa ambaye hana ni kidogo??
 
Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.

Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika imani kwa msaada huu.
Acha kutangaza habari za kusikia sikia.Na kama ni kusikia lazima uyatege masikio yako vyema ili usije ukasimulia ukaonekana ni mbeya.
 
Nilitega vizuri sana masikio Ami.
 
Dah kama ni 3kg alooo ni noma mbona sisi ndio tunatakiwa kuwapa hao maharage ila wao wanatoa 3kg wanatangaza 😂😂😂😂
 
Nchi yenye resources mbalimbali inaamua kutoa msaada.

Ambao ni kilo 3 za maharage.

Kisha mstahiki meya anaenda kushukuru.

Unahisi ni kawaida?
Kuna shida pahala tena shida kubwa
 
Sisi ELIMU AKHERA tunashukuru Kwa msaada huo tunaomba na nchi zingine ziweze kutusaidia majamvi,tende na nyama ya ngamia....
insha'Allah!!!!
 
Nilitega vizuri sana masikio Ami.
Kama ulitega vizuri na ndicho ulichosikia turarudi kwa hicho kituo cha redio isijekuwa kinamilikiwa na wale wenye visasi na watu fulani fulani.
Kwa kutumia redio yao wanaweza wakatangaza kitu cha kuwadharaulisha watu na hawana hofu yoyote.
 
Acha kutangaza habari za kusikia sikia.Na kama ni kusikia lazima uyatege masikio yako vyema ili usije ukasimulia ukaonekana ni mbeya.
Mihemko mkuu, na huyo lengo lake hasa si hiyo habari bali kuendeleza ule mjadala wao wa chuki waliouanzisha na 'kujiapiza' kuuendeleza. Sasa katika haraka ya kuwaita 'wenzake' jamvini ndiyo hivyo tena amejikuta anachapia.
 
Uongozi wa awamu hii unaturudisha enzi za utumwa. Tumegeuka kuwa disable/dependant peoples' country!
 
Back
Top Bottom