Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafute na hao waliotoa msaada halafu urudi hapa na details.Kama ulitega vizuri na ndicho ulichosikia turarudi kwa hicho kituo cha redio isijekuwa kinamilikiwa na wale wenye visasi na watu fulani fulani.
Kwa kutumia redio yao wanaweza wakatangaza kitu cha kuwadharaulisha watu na hawana hofu yoyote.
Mkuu tupo sitiaz na Bandari.Nchi yenye resources mbalimbali inaamua kutoa msaada.
Ambao ni kilo 3 za maharage.
Kisha mstahiki meya anaenda kushukuru.
Unahisi ni kawaida?
🤣🤣🤣Kwani kilo tatu kwa ambaye hana ni kidogo??
Nao tuwape viwanja vya ndege vyote?Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.
Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika imani kwa msaada huu.