World Muslim Link yatoa msaada wa kilo 3 za Maharage kwa yatima kutoka Serikali ya Saudia, Mstahiki Mayor wa Temeke awashukuru

Bado mkaa wa kupikia ivi wanawaonaje hao yatima yani
 
Kama ulitega vizuri na ndicho ulichosikia turarudi kwa hicho kituo cha redio isijekuwa kinamilikiwa na wale wenye visasi na watu fulani fulani.
Kwa kutumia redio yao wanaweza wakatangaza kitu cha kuwadharaulisha watu na hawana hofu yoyote.
Watafute na hao waliotoa msaada halafu urudi hapa na details.
 
Nchi yenye resources mbalimbali inaamua kutoa msaada.

Ambao ni kilo 3 za maharage.

Kisha mstahiki meya anaenda kushukuru.

Unahisi ni kawaida?
Mkuu tupo sitiaz na Bandari.

Kilo tatu kha!

Mungu awabariki
 
Nao tuwape viwanja vya ndege vyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…