World Soccer Photo Album

YouTube wanajua kuvutia watu, kwahiyo mwamba gaucho alipiga penalti huku timu nzima ya argentina wamepanga ukuta golini 😂😂🤣
 
TUWEKE RECORDS MEZANI😎, maana kuna hucheza mpira na kuchezea mpira
 
Ronaldinho aliutawala mpira! Aliuchezea mpira (wakati wengine wanaucheza mpira), magoli yake ni matamu sana. Burudani yake ni mpaka basi!!

Inaruhusiwa??? Yan kampokonya kipa mpira hata hajaurusha bado??? Rules za zaman
 
Sema hv vibukta virud tena mana kuna some players wanapenda sana kupandsha bukta zao during match af wanachomea kwenye "tait" to make the more short e.g mbappe na neymar,so hvo vbukta vtawafaa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…