Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo fala anacheza Al Rayyan Qatar ni mchumba tuHuyu ushuzi aliharibu sana kwa statement zake za kibaguzi sijui hata anachezea ligi gani ya maana. Au anacheza ndondo za huko uarabuni!?
Ungesema Okocha hapo sawa, sio Messi mbabaishajiHivi Messi hamfikii huyu jamaa eti?
Kama kachorwa.
HUYU PELE WANAMFANANISHAGA NA KIUMBWA FULANI.KWA KWELI WANAMKOSEAGA SANA HESHIMA.
Mbaya sanaHUYU PELE WANAMFANANISHAGA NA KIUMBWA FULANI.KWA KWELI WANAMKOSEAGA SANA HESHIMA.
KibwengooKama kachorwa.
Hicho "kiumbwa", kinaweza kukuchukua wewe na ukoo wenu wote, kikawalipa mfanye kazi ya kuwaza "majibwa" yote ya mji mzima wa Rosario!HUYU PELE WANAMFANANISHAGA NA KIUMBWA FULANI.KWA KWELI WANAMKOSEAGA SANA HESHIMA.
Kumbe wewe unataka kazi kwa kiumbwa mimi najadili mada tu.FAMILIA PELEKA YA KWAKO.Hicho "kiumbwa", kinaweza kukuchukua wewe na ukoo wenu wote, kikawalipa mfanye kazi ya kuwaza "majibwa" yote ya mji mzima wa Rosario!