Wosia wa Ballali kuwaumbua wengi!

Wosia wa Ballali kuwaumbua wengi!

Baada ya kusoma elimu ya geologia na mambo ya sayari.. na kuzidi kujua jinsi ulimwengu ulivyounda tangia ule "Mlipuko Mkuu" nimeacha kuamini mambo ya mama na kuni zake kwenye mwezi.

Hopeful umeacha kuamini "uongo" na kuanza kuamini "ukweli", badala ya kuacha kuamini "ukweli" na kuanza kuamini "uongo"
 
Mkuu Mtanzania,

Hizo copy zipo kweli kwangu sio swali, tatizo langu ni kama zinaweza kubadili anything kuhusiana na mtego tuliomo yaani taifa na hii ishu, kuaamini au kutokuamini ni tatizo la binafsi, lakini haliwezi kubadili ukweli,

Tena the matter of fact kuna watu hapa wana something kuhusiana na hizo copy, kwa hiyo sio maneno matupu huwa hatukurupuki hata siku moja, kama hizo copy zingekuwa hazina noma, basi wasingekuwa wanazitafuta, kwa sababu tunajua for a fact kuwa wanazitafuta, ninaweza kuku-pm ni kwa nini ninasema hivyo na kuamini maneno ya Mwawado kwa 100%, kwanza nimeshangaa kuona mkuu ana hizi dataz!

Mwawado heshima mbele kwa kumwaga dataz, ambazo some of us tulikuwa tunaogopa kuzigusa, na pia ninaiaminia hiyo source yako, maana huenda hata zangu zimetoka hapo hapo maana kuna mengi kati ya uliyoyasema yanafanana. Na ninakuomba uendele kumwaga ukizipata zaidi, the matter of fact nitakutafuta pembeni!

Wakuu huu uwanja ni mkubwa sana, na kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake sasa kama kamba yako inaishia pasipokuwa na majani, haina maana mbuzi wote hawayaoni majani, maana yapo kibao na mbuzi wengine wanayaona! kwa hiyo dataz zinaweza kutoka kwa Mwawado pia, au mtu yoyote hapa JF!

When the time is right dataz zote na video zitamwagwa hapa, hatuogopi wala kutishika na mtu!

Ahsante Mkuu!
 
Wenye kanda za Ballali kama huwa mnakuja kuvinjari hapa JF na kuchangia hoja zenu kuhusiana na vita dhidi ya ufisadi tunawaomba mzitoe hizo kanda na ushahidi mwingine wowote mliokuwa nao ili Watanzania waweze kufahamu mengi yaliyojiri kuhusiana na wizi wa $133 million uliotokea BoT. Mafisadi wanahaha kuwatafuta wenye ushahid huo na kwa jinsi walivyokuwa na wasiwasi mkubwa basi wanaweza kabisa KUWAKOLIMBA.
 
Mafisadi wanahaha kuwatafuta wenye ushahid huo na kwa jinsi walivyokuwa na wasiwasi mkubwa basi wanaweza kabisa KUWAKOLIMBA.

Mkuu Heshima mbele,

Wale wote wenye hizo dataz sio wajinga, na haiwezekani wote tukawa waongo kuhusu kuwepo kwake, kuanzia mimi, Mwawado, mpaka Indume Yene yaani wote tume-co-ordinate kwa pamoja ku-create huu uongo?

Kila kitu kina wakati wake, ninaamini in due time zitamwagwa hapa, ingawa kumwagwa ni one thing na context zake ni another ishu! Lakini ninaamini kuwa zinakuja hapa sooon!
 
Mkuu FMES,

Unajua maana ya SPIN? Huenda source ya hizo info au data zenu zote ni mtu mmoja ambaye amekaa chini na kunywa whisky yake akishangilia kudanganya Watanzania.

Labda niulize swali lingine, kati ya nyie nyote kuna mtu ameona hizo video?

Mwanzoni niliuliza kati ya wote wanaosema Ballali amekufa, kuna mtu anaweza au amewahi kusema publically kwamba kauona mwili? Naona hakuna jibu.

Hai make sense kwamba miezi tisa aliyokuwa nayo Ballali hakusema kitu kuhusu alivyoshirkiana na wengine kuchota pesa zetu, eti wakati anakaribia kutoroka kimoja ndio
anatengeneza video na kuzisambaza sehemu mbalimbali.

Pia hakuna siri ya watu kumi, laiti Ballali angeacha copies zote hizo, leo hii hapa JF tungelikuwa na copy.

Mimi naamini huo ni uwongo mwingine dhidi ya Watanzania ambao unaanzia kule kule juu yaani kwa mama Muganda. Ni yale yale ya sumu Dodoma au Othman kushangaa eti Ballali hajafa, hivi kweli inaingia kichwani, mtu anakuja kukuona, kisha anakuambia anashangaa hujafa?

Nyingine ni Ballali kutumiwa na makachero watano sijui saba, kama kweli Othman alijua alikokuwa Ballali, kweli hao makamanda wake iweje wasijue mpaka waanze kuvinjari USA nzima kumtafuta? Kuna mtu anasema walitumwa na Apson, lakini labda hawajui kwamba
Othman ni mtoto wa Apson (kimpangilio), wanaelewana mno, haiwezekani kwamba yeye anajua kitu, boss wake wa zamani anataka kujua na akafichwa. Eti alionwa na Othman zamani, na akahama, mtu anayesema hivyo hajui hawa makachero wanavyofanya kazi, wakishajua ulipo ni ngumu sana kuwapoteza. Kama kweli Othman alimwona basi jua hapo
aliacha vijana wake karibu wakipumua mgongoni mwa Ballali.

Hii habari nzima hai make sense.
 
Mkuu Mtanzania,

Hizo copy zipo kweli kwangu sio swali, tatizo langu ni kama zinaweza kubadili anything kuhusiana na mtego tuliomo yaani taifa na hii ishu, kuaamini au kutokuamini ni tatizo la binafsi, lakini haliwezi kubadili ukweli,

Tena the matter of fact kuna watu hapa wana something kuhusiana na hizo copy, kwa hiyo sio maneno matupu huwa hatukurupuki hata siku moja, kama hizo copy zingekuwa hazina noma, basi wasingekuwa wanazitafuta, kwa sababu tunajua for a fact kuwa wanazitafuta, ninaweza kuku-pm ni kwa nini ninasema hivyo na kuamini maneno ya Mwawado kwa 100%, kwanza nimeshangaa kuona mkuu ana hizi dataz!

Mwawado heshima mbele kwa kumwaga dataz, ambazo some of us tulikuwa tunaogopa kuzigusa, na pia ninaiaminia hiyo source yako, maana huenda hata zangu zimetoka hapo hapo maana kuna mengi kati ya uliyoyasema yanafanana. Na ninakuomba uendele kumwaga ukizipata zaidi, the matter of fact nitakutafuta pembeni!

Wakuu huu uwanja ni mkubwa sana, na kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake sasa kama kamba yako inaishia pasipokuwa na majani, haina maana mbuzi wote hawayaoni majani, maana yapo kibao na mbuzi wengine wanayaona! kwa hiyo dataz zinaweza kutoka kwa Mwawado pia, au mtu yoyote hapa JF!

When the time is right dataz zote na video zitamwagwa hapa, hatuogopi wala kutishika na mtu!

Ahsante Mkuu!

Mkuu FMES,

Tuliambiwa picha za kifo cha Ballali zipo na zitaletwa hapa muda sio mrefu, HAKUNA.

Sasa wamehamia kwenye video, mkuu FMES, angalia, usije ukawa unatumika kwenye mchezo mchafu wa kuwadanganya Watanzania bila ya wewe kujua.

Mimi niliamua kusoma threads zote za Ballali kuanzia anaondoka Dar, sina imani tena na hizo sources na pia hiyo familia yake, wametudanganya kwa makusudi mazima katika mambo mengi mno.
 
Mkuu heshima mbele, haiwezekani kuwa kila anyeamini kuwa balali amefariki basi anatumika na somebody kwa ajili ya machezo mchafu, na wanaodai hajafa hawatumiki ila wao ni wazalendo tu, mkuu wangu Mtanzania I hope hutumiwi na somebody kwa ajili ya machezo mchafu wa siasa!

Wakuu tupeni nafasi wengine tuwe na mawazo tofauti pia kuhusu kifo cha Balali, si ndio demokrasia yenyewe hiyo au?
 
Mimi sija question uzalendo wako wala sina sababu kabisa za kufanya hivyo maana ninakuelewa vizuri juu ya mapenzi yako kwa mama Tanzania. Ila nina wasiwasi kuna watu kwa makusudi mazima wanavujisha habari ambazo wangependa ziwafikie Watanzania wengi kuhusu Ballali.

Sasa isije ukawa na wewe unataumiwa na hao watu bila ya wewe kujua kuhakikisha habari hizo ambazo mimi naamini sio za kweli zinawafikia Watanzania wengi iwezavyo.

Huo ndio wasiwasi wangu!
 
Mkuu Mtanzania,

Heshima mbele bro, sijawahi kutmiwa na mtu yoyote kwenye maisha yangu, na siwezi kutumika kwenye habari ya kifo wewe unajua jinsi nilivyo na dini yangu ndogo lakini ninaimiania sana kuliko anything, ninchosema on this ishu ni facts nilizonazo in my hands na sio maoni au hadithi,

Kuna ambazo nimezito ana bado sijazitoa, Mwawado ametoa karibu robo ya facts nilizonazo, so is Indume Yene, lakini kutumiwa hapana mkuu wala huwezi kuwa na ushahidi on this kwa sababu labda nife kwanza ndio ninaweza kutumiwa na mtu,

Ninaomba tu ukubali kama sisi tunavyokubali your views on ythis ishu, lakini kushutumiana on this level sio ustaarabu unless mtu anazo facts za mwingine kutumiwa, siku zote ninakuwa na dataz tena nzito sana bro, sasa ni watu wangapi watakuwa wananitumia kama hii habari yako ni kweli? Kwa mfano nilipotoa dataz kuwa rais haendi London na nikawashitukiza hata wakubwa wa nchi huko je nilikuwa ninatumiwa na nani?

mkuu unajua ndio maana mimi sinywi pombe wala hata wine kwa sababu siwezi ku-afford akili yangu kuteterekea hata for one minute!
 
Duh! JF bwana kweli tuko mbali sana, yaani hizi dataz tulizimwaga last two weeks wao ndio kwanza wamezipata saa hizi, anyways saafi sana inaonyesha tu JF ni mambo yote!

Wakuu wangu mpo hapa, Jf mbele zaidi! Alyways one step ahead, kwa nyongeza tu ni kwamba aliacha pia tape records na hizo documents kuna ambazo ziko kwa wakulu wa IMF na World Bank, ila effectiveness yake bado hakuna mwenye uhakika, tupo ukurasa mmoja hapa watu wa magazeti!

Mkuu fany abasi mpango tupate hizo tape.
 
Mkuu Mtanzania,

Heshima mbele bro, sijawahi kutmiwa na mtu yoyote kwenye maisha yangu, na siwezi kutumika kwenye habari ya kifo wewe unajua jinsi nilivyo na dini yangu ndogo lakini ninaimiania sana kuliko anything, ninchosema on this ishu ni facts nilizonazo in my hands na sio maoni au hadithi,

Kuna ambazo nimezito ana bado sijazitoa, Mwawado ametoa karibu robo ya facts nilizonazo, so is Indume Yene, lakini kutumiwa hapana mkuu wala huwezi kuwa na ushahidi on this kwa sababu labda nife kwanza ndio ninaweza kutumiwa na mtu,

Ninaomba tu ukubali kama sisi tunavyokubali your views on ythis ishu, lakini kushutumiana on this level sio ustaarabu unless mtu anazo facts za mwingine kutumiwa, siku zote ninakuwa na dataz tena nzito sana bro, sasa ni watu wangapi watakuwa wananitumia kama hii habari yako ni kweli? Kwa mfano nilipotoa dataz kuwa rais haendi London na nikawashitukiza hata wakubwa wa nchi huko je nilikuwa ninatumiwa na nani?

mkuu unajua ndio maana mimi sinywi pombe wala hata wine kwa sababu siwezi ku-afford akili yangu kuteterekea hata for one minute!

Mkuu FMES,

Kwi kwi kwi!!! Nimecheka sana huu ujumbe wako.

Kutumiwa na watu bila kujua kuna maana tofauti kabisa na kutumiwa. Nilichomaanisha
ni kama hivi A anajua B anajuana FMES, anamwambia habari ambayo B anaiamini na kisha naye anamwambia FMES. FMES naye anaifikisha kwa watu zaidi akiamini ni ukweli.

A anachukua Whisky yake akifurahia yanayoongelewa. Hiyo ndio ilikuwa maana yangu na sio vinginevyo.

Hapo kwenye kinywaji mimi nikikutembelea itabidi tu uninunulie maana kwa weekend
bila hicho kinywaji wengine maisha hayaendi. Jumapili mpaka Alhamisi ni hakuna kinywaji, Ijumaa na Jumamosi hapo ni kulewa tu.
 
Kutumiwa na watu bila kujua kuna maana tofauti kabisa na kutumiwa. Nilichomaanisha
ni kama hivi A anajua B anajuana FMES, anamwambia habari ambayo B anaiamini na kisha naye anamwambia FMES. FMES naye anaifikisha kwa watu zaidi akiamini ni ukweli.

Mkuu wangu nimekusikia, lakini on a serious note hii ni imagination na sio fact na hata kama ingekuwa fact inawez akuwa worked on both sides, yaani on your side pia!

Mkuu ninalolisema ninalijua na nina facts kibao za hii ishu, tena live na sina haraka pole pole nitalielimisha taifa na hii ishu sio hapa tu, pole pole nitakuwa ninaachia dataz ambazo nimezitafuta mwenyewe na nido maana ninaamini kuwa Balali amefariki kwa 100%!

Kuna mahali nimeona dataz zako mkuu duh kali sana yaani nimezimia sana na the dataz! Sasa cheki magazeti karibuni maana ninategemea kufanya unyama na kuli-freeze taifa zima na dataz on this, watch!
 
Mkuu heshima yako. Hizi data basi zifanyie kazi ili uziweke hadharani mapema kadri inavyowezekana maana Watanzania tuna kiu kikubwa cha kupata ushahidi zaidi kuhusiana na kifo cha Ballali ili tufunue macho zaidi na kuelewa ukweli umelalia wapi. Hii inatokana hasa na kutokuwa na ushahidi wowote unaothibitisha kwamba Ballali kafariki, na ukitilia maanani mabilioni ya shilingi yaliyoibiwa pale BoT basi pesa zile zinaweza kabisa kutumika katika 'kumuua Ballali' ili wakubwa waliohusika na wizi ule wasifunguliwe mashtaka na hatimaye kufilisiwa kwa utajiri walioupata kwa njia za haramu.
 
Nina vimaswali vichache tu kuhusiana na huo ushahidi ama documents alizoziacha.

Je, hizo documents, video tapes na audio tapes zina msaada gani sasa hivi ambapo shahidi mkuu kwenye hiyo kesi tayari ni marehemu?

Kwanini alipoita press conference kabla hajaondoka kwenda US hakusema yote hayo na kuonyesha hizo documents kwa waandishi wa habari? Badala yake alijitetea kwamba yeye ni mtu safi na kwamba hayo yanayosemwa ni uzushi kutoka kwa wafanyabiashara ambao walihitaji msaada wake lakini akagoma kuwasaidia! (Utetezi huu unafanana na ule wa Mzee wa Ukweli na Uwazi). Hapa ndipo ninapomhukumu kwamba hakuwa na nia njema na ndipo watu wanaweza ku-question ukweli wa hizo documents ambazo inasemekana ameziacha. Angekuwa na nia njema angekuwa mkweli tangu siku hiyo na kuweka kila kitu hadharani badala ya kutoa utetezi usio na kichwa wala miguu na kusema kwamba yuko "comfortable".

Kisheria, je, hizo documents zinaweza kukubalika mahakamani kwa ajili ya watuhumiwa wa EPA? Uelewa wangu finyu wa sheria ya mtaani/kijiweni, kunapokuwa na ushahidi wa maandishi au wa aina yoyote lazima kuwe na cross examination ya huo ushahidi na ndiyo maana upande wa utetezi mahakamani huwa una-study kwa makini ushahidi wa aina zote uliowakilishwa mahakani ili kuweza kufanya cross examination, baada ya hapo ni juu ya mahakama kuona kama ushahidi uliotolewa + cross examination vinamtia mtuhumiwa hatiani. Sasa mtu wa kufanyiwa cross examination hayupo, ni namna gani upande wa utetezi utakubali kwamba ushahidi huo ni wa kweli?

Kwa maoni yangu, sioni sababu ya kushangilia uwepo wa hizo documents kwa kuwa sioni kama zina msaada wowote kwetu sisi watanzania kwa wakati huu. Documents hizo zina msaada zaidi kwa familia ya Ballali, period!

Ballali alijua kwamba iko siku serikali inaweza kutaka kuingilia mali zake ili kuonyesha kwamba iko serious na mapambano ya ufisadi. Hali hiyo ilijionyesha wazi pale ambapo lawama zote za ufisadi wa EPA zilianza kutupiwa kwake mara baada ya Ballali kuondoka Tanzania na kwenda US. Kwa mazingira hayo ni rahisi sana familia ya Ballali kuingiliwa kwenye mali zake za halali na hata zile ambazo hakuzipata kwa njia halali. Kwa hiyo ili kulinda mali yake kwa faida ya familia yake aliweka hizo memos na video kwa kuwa serikali ina uhakika kwa 100% kwamba ikizama ndani zaidi kwenye hiyo kashfa basi inaweza kujikuta inajipaka matope na kila mtu akawa anaiona jinsi ilivyo chafu.

Mchezo uliokuwa unaendelea ilikuwa ni wa kuviziana. Ndiyo maana serikali ikasema haimtafuti Ballali. Mtu aliyesababisha hasara ya mabilioni useme usimtafute na wakati huo huo ni shahidi namba moja kwenye hilo sakata! Bado hapo hapo watu waliokuwa karibu na Ballali wanadai eti alikuwa anahofia usalama wake, hapo ndipo theory ya kujizungushia mabomu inapoanza kutumika kwamba mtu akinisogelea nimevaa mabomu na nikijilipua nchi itadondoka hakuna atakayepona. Akina Mwanyika wakawa wana hangaika na akina Maregesi, huku shahidi mkuu kaachwa pembeni maana akiguswa hujui anaweza kulipua nini. Mh. Waziri Mkuu anasema wahusika wa EPA ni hatari sana, ina maana serikali inawaogopa baadhi ya raia wake? Kuna raia aliye juu ya sheria? Hapo kweli kuna utawala wa sheria? Ni watu gani ambao serikali yenye mamlaka kwenye majeshi yote ya ulinzi na usalama (kuanzia mgambo, polisi, usalama wa taifa, JWTZ, JKT, Magereza mpaka sungsungu) inawaogopa na kwamba inabidi iwaendee taratibu. Maana ya kuwafuatilia taratibu ni pamoja na kufanya makubaliano ya aina fulani, kwamba hatutawapeleka mahakamani lakini lipeni pesa mlizochukua. Hiyo siyo serikali bali ni watu waliopewa madaraka na kundi fulani la mafisadi ili kuongoza nchi na hivyo wanaongoza nchi kwa remote control, wanatekeleza kile ambacho mafisadi wanataka kitekelezwe. Hapo ndipo palipokuwa na mchezo wa kuviziana kati ya Ballali na serikali yetu ya Tanzania na kuanza kuogopana. No wonder state agents wanazisaka hizo docs ili wajue namna a kutegua mabomu aliyoacha marehemu ameyatega. Wanataka kuyategua ili JK asije akaaibika akitaka kurudi madarakani 2010 kwa kuwa nina uhakika wapinzani wake watakuja kuyatumia hayo hayo mabomu kwenye kampeni ya kumalizana.

Ballali angekuwa na nia njema ya kujisafisha na kutuonyesha mafisadi halisi wa EPA alitakiwa wakati ule jina lake limeanza kuchafuliwa angeagiza wakili wake afungue kesi mahakamani na kutoa hizo documents zote ambazo watu wanadai kaziacha. Zingekuwa more useful maana zingekuwa na nguvu zaidi kwa kuwa mtu bado yuko hai na anaweza kuhojiwa na upande utetezi mahakamani na aka-very kwamba huo ushahidi ni wa kweli. Angefanya hivyo angekufa kama shujaa na kila mtu angemsifu na watu wote wangetoa machozi baada ya kusikia kifo chake badala ya kuanza ku-question kama kweli amakufa au ame-fake death. Kukaa kwake kimya kumemfanya aonekane nae ni fisadi tu, na hata hizo documents sioni kama zina faida yoyote kwa sasa maana tayari ni historia na hatakuwa mmoja wa mashahidi watakaoitwa mahakamani kutoa ushahidi.
 
Mkuu Keil,

Heshima mbele bro, ukweli ni kwamba maswali yote uliyoyauliza ni mazito sana, laikini hata sisi tulishayauliza sana ila sio kwa kirefu kama wewe,

However, the Balali's fever continues na it has nothing to do na all your questions, sasa what is in the documents? Zitasema zenyewe when the time comes kwenye hili hakuna mwenye fault yaani kati ya mimi na wewe, documents ni just documents period!

And it is fun too na I love it!
 
Mkuu wangu nimekusikia, lakini on a serious note hii ni imagination na sio fact na hata kama ingekuwa fact inawez akuwa worked on both sides, yaani on your side pia!

Mkuu ninalolisema ninalijua na nina facts kibao za hii ishu, tena live na sina haraka pole pole nitalielimisha taifa na hii ishu sio hapa tu, pole pole nitakuwa ninaachia dataz ambazo nimezitafuta mwenyewe na nido maana ninaamini kuwa Balali amefariki kwa 100%!

Kuna mahali nimeona dataz zako mkuu duh kali sana yaani nimezimia sana na the dataz! Sasa cheki magazeti karibuni maana ninategemea kufanya unyama na kuli-freeze taifa zima na dataz on this, watch!

Mkuu FMES,

Hakuna haja ya kuendelea kubishana juu ya hili.

Hao walio na hizo video au tapes watuletee vinginevyo wafunge midomo yao maana tumechoka kudanganywa na hizo zinazoitwa data za Ballali. Toka mwaka jana wanasema data zinakuja lakini mpaka sasa sijaona hata kitu kimoja cha Ballali ambacho kimeletwa kwenye public attention.

Ndio maana mimi naamini ni yale yale ya kutudanganya. Nitaandika zaidi mambo ya Ballali
zikiisha arobaini toka kutoroka kwake. Wakati huo watakuwa hawana kisingizio tena cha kuendelea kutokutoa hizo kanda kama kweli wanazo.

Mimi naamini hakuna hizo kanda na hizi leakes zote ni ile ile strategy ambayo waliianza toka mwezi wa nane mwaka jana kuanzia kule Dodoma ambako bila hata aibu akalidanganya bunge
ili kuficha ujambazi wake.
 
Hivi kumbe hizo video hawajazitoa bado? Kwani lazima watutangazie? Kama wanazo, muda ukifika wanaotaka waweke. Lakini kwa sasa, madamu hawajataka kuziweka, waache kuwarusha watu roho wanaosubiri makubwa.

Wengine tunajua ilishatoka hiyo wala hatutarajii miujiza yeyote ile. Madamu Balali aliamua kukaa kimya hadi "akafariki" na kuwaacha jamaa zake aliowasindikiza na kuwasaidia kuchota mapesa yetu pale BOT, hakuna kitakachosaidia tena. CCM wanacheza na saikolojia ya watanzania: kupiga mdomo kwenye vijiwe na kisha kusahau na kurukia jambo lingine.
 
Hivi kumbe hizo video hawajazitoa bado? Kwani lazima watutangazie? Kama wanazo, muda ukifika wanaotaka waweke. Lakini kwa sasa, madamu hawajataka kuziweka, waache kuwarusha watu roho wanaosubiri makubwa.

Hapana wrong number mkuu, hakuna aliyeahidi anywhere kuanzia hapa JF, wala mahali popote pengine kuwa anazo au atazitoa, kilichosemwa ni kuwa zipo video na tape records, pamoja na Documents, hizo zipo, hilo haloina ubishi kuna watu wanazo! Ninarudia tena kuwa hakuna aliyeahidi kuzitoa, kwa hiyo mkuu take that back!

Unajua kabla ya hii ishu ya Balali kutokea, nilikuwa niaamini sana kuwa hapa JF ndio mabigwa wa demokrasia, yaani kwenye kuheshimu mawazo ya wengine regardless kama tunakubliana nao, lakini hiii ishu imefungua sana macho, hasa nikizingatia kuwa wengi wetu humu kuna siku tutakuatna kwenye kutawala au kuongoza wengine, ndio maana ninasema I love JF, maana kila siku panafundisha mapya kuhusu viongozi wetu watarajiwa maana ni sisi wenyewe wananchi!
 
JF ni data tu, kama kuna video wazitoe vinginevyo hakuna jipya ni yale yale ya sumu Dodoma.

Haiingii akilini kwamba mtu amekufa na bado wanaogopa kutoa documents alizoacha, why?

Nikitumia logic ninachoweza kufikiri ni labda kama Ballali ana video ambazo anazitumia ili
serikali isimuumbue, yaani hapa kuna aina ya UMAFIA, kitu ambacho kwa taifa ni hatari. Hapo analinda skin yake na wala sio taifa. Matokeo yake yeye ataendelea kutanua huko alikojificha na video hazitatoka, ngoma draw kati ya Ballali na serikali, lakini kwa sisi Wadanganyika tutakuwa tumefungwa magoli mengi.

Mtu ambaye ana mapenzi na nchi yake hawezi kuingia kwenye umafia wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom