Baada ya kusoma elimu ya geologia na mambo ya sayari.. na kuzidi kujua jinsi ulimwengu ulivyounda tangia ule "Mlipuko Mkuu" nimeacha kuamini mambo ya mama na kuni zake kwenye mwezi.
Mkuu Mtanzania,
Hizo copy zipo kweli kwangu sio swali, tatizo langu ni kama zinaweza kubadili anything kuhusiana na mtego tuliomo yaani taifa na hii ishu, kuaamini au kutokuamini ni tatizo la binafsi, lakini haliwezi kubadili ukweli,
Tena the matter of fact kuna watu hapa wana something kuhusiana na hizo copy, kwa hiyo sio maneno matupu huwa hatukurupuki hata siku moja, kama hizo copy zingekuwa hazina noma, basi wasingekuwa wanazitafuta, kwa sababu tunajua for a fact kuwa wanazitafuta, ninaweza kuku-pm ni kwa nini ninasema hivyo na kuamini maneno ya Mwawado kwa 100%, kwanza nimeshangaa kuona mkuu ana hizi dataz!
Mwawado heshima mbele kwa kumwaga dataz, ambazo some of us tulikuwa tunaogopa kuzigusa, na pia ninaiaminia hiyo source yako, maana huenda hata zangu zimetoka hapo hapo maana kuna mengi kati ya uliyoyasema yanafanana. Na ninakuomba uendele kumwaga ukizipata zaidi, the matter of fact nitakutafuta pembeni!
Wakuu huu uwanja ni mkubwa sana, na kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake sasa kama kamba yako inaishia pasipokuwa na majani, haina maana mbuzi wote hawayaoni majani, maana yapo kibao na mbuzi wengine wanayaona! kwa hiyo dataz zinaweza kutoka kwa Mwawado pia, au mtu yoyote hapa JF!
When the time is right dataz zote na video zitamwagwa hapa, hatuogopi wala kutishika na mtu!
Ahsante Mkuu!
Mafisadi wanahaha kuwatafuta wenye ushahid huo na kwa jinsi walivyokuwa na wasiwasi mkubwa basi wanaweza kabisa KUWAKOLIMBA.
Mkuu Heshima mbele,
Wale wote wenye hizo dataz sio wajinga, na haiwezekani wote tukawa waongo kuhusu kuwepo kwake, kuanzia mimi, Mwawado, mpaka Indume Yene yaani wote tume-co-ordinate kwa pamoja ku-create huu uongo?
Kila kitu kina wakati wake, ninaamini in due time zitamwagwa hapa, ingawa kumwagwa ni one thing na context zake ni another ishu! Lakini ninaamini kuwa zinakuja hapa sooon!
Mkuu Mtanzania,
Hizo copy zipo kweli kwangu sio swali, tatizo langu ni kama zinaweza kubadili anything kuhusiana na mtego tuliomo yaani taifa na hii ishu, kuaamini au kutokuamini ni tatizo la binafsi, lakini haliwezi kubadili ukweli,
Tena the matter of fact kuna watu hapa wana something kuhusiana na hizo copy, kwa hiyo sio maneno matupu huwa hatukurupuki hata siku moja, kama hizo copy zingekuwa hazina noma, basi wasingekuwa wanazitafuta, kwa sababu tunajua for a fact kuwa wanazitafuta, ninaweza kuku-pm ni kwa nini ninasema hivyo na kuamini maneno ya Mwawado kwa 100%, kwanza nimeshangaa kuona mkuu ana hizi dataz!
Mwawado heshima mbele kwa kumwaga dataz, ambazo some of us tulikuwa tunaogopa kuzigusa, na pia ninaiaminia hiyo source yako, maana huenda hata zangu zimetoka hapo hapo maana kuna mengi kati ya uliyoyasema yanafanana. Na ninakuomba uendele kumwaga ukizipata zaidi, the matter of fact nitakutafuta pembeni!
Wakuu huu uwanja ni mkubwa sana, na kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake sasa kama kamba yako inaishia pasipokuwa na majani, haina maana mbuzi wote hawayaoni majani, maana yapo kibao na mbuzi wengine wanayaona! kwa hiyo dataz zinaweza kutoka kwa Mwawado pia, au mtu yoyote hapa JF!
When the time is right dataz zote na video zitamwagwa hapa, hatuogopi wala kutishika na mtu!
Ahsante Mkuu!
Mkuu heshima mbele, haiwezekani kuwa kila anyeamini kuwa balali amefariki basi anatumika na somebody kwa ajili ya machezo mchafu, na wanaodai hajafa hawatumiki ila wao ni wazalendo tu, mkuu wangu Mtanzania I hope hutumiwi na somebody kwa ajili ya machezo mchafu wa siasa!
Wakuu tupeni nafasi wengine tuwe na mawazo tofauti pia kuhusu kifo cha Balali, si ndio demokrasia yenyewe hiyo au?
Duh! JF bwana kweli tuko mbali sana, yaani hizi dataz tulizimwaga last two weeks wao ndio kwanza wamezipata saa hizi, anyways saafi sana inaonyesha tu JF ni mambo yote!
Wakuu wangu mpo hapa, Jf mbele zaidi! Alyways one step ahead, kwa nyongeza tu ni kwamba aliacha pia tape records na hizo documents kuna ambazo ziko kwa wakulu wa IMF na World Bank, ila effectiveness yake bado hakuna mwenye uhakika, tupo ukurasa mmoja hapa watu wa magazeti!
Mkuu Mtanzania,
Heshima mbele bro, sijawahi kutmiwa na mtu yoyote kwenye maisha yangu, na siwezi kutumika kwenye habari ya kifo wewe unajua jinsi nilivyo na dini yangu ndogo lakini ninaimiania sana kuliko anything, ninchosema on this ishu ni facts nilizonazo in my hands na sio maoni au hadithi,
Kuna ambazo nimezito ana bado sijazitoa, Mwawado ametoa karibu robo ya facts nilizonazo, so is Indume Yene, lakini kutumiwa hapana mkuu wala huwezi kuwa na ushahidi on this kwa sababu labda nife kwanza ndio ninaweza kutumiwa na mtu,
Ninaomba tu ukubali kama sisi tunavyokubali your views on ythis ishu, lakini kushutumiana on this level sio ustaarabu unless mtu anazo facts za mwingine kutumiwa, siku zote ninakuwa na dataz tena nzito sana bro, sasa ni watu wangapi watakuwa wananitumia kama hii habari yako ni kweli? Kwa mfano nilipotoa dataz kuwa rais haendi London na nikawashitukiza hata wakubwa wa nchi huko je nilikuwa ninatumiwa na nani?
mkuu unajua ndio maana mimi sinywi pombe wala hata wine kwa sababu siwezi ku-afford akili yangu kuteterekea hata for one minute!
Kutumiwa na watu bila kujua kuna maana tofauti kabisa na kutumiwa. Nilichomaanisha
ni kama hivi A anajua B anajuana FMES, anamwambia habari ambayo B anaiamini na kisha naye anamwambia FMES. FMES naye anaifikisha kwa watu zaidi akiamini ni ukweli.
Mkuu wangu nimekusikia, lakini on a serious note hii ni imagination na sio fact na hata kama ingekuwa fact inawez akuwa worked on both sides, yaani on your side pia!
Mkuu ninalolisema ninalijua na nina facts kibao za hii ishu, tena live na sina haraka pole pole nitalielimisha taifa na hii ishu sio hapa tu, pole pole nitakuwa ninaachia dataz ambazo nimezitafuta mwenyewe na nido maana ninaamini kuwa Balali amefariki kwa 100%!
Kuna mahali nimeona dataz zako mkuu duh kali sana yaani nimezimia sana na the dataz! Sasa cheki magazeti karibuni maana ninategemea kufanya unyama na kuli-freeze taifa zima na dataz on this, watch!

Hivi kumbe hizo video hawajazitoa bado? Kwani lazima watutangazie? Kama wanazo, muda ukifika wanaotaka waweke. Lakini kwa sasa, madamu hawajataka kuziweka, waache kuwarusha watu roho wanaosubiri makubwa.
Hapana wrong number mkuu, hakuna aliyeahidi anywhere kuanzia hapa JF, wala mahali popote pengine kuwa anazo au atazitoa, kilichosemwa ni kuwa zipo video na tape records, pamoja na Documents, hizo zipo, hilo haloina ubishi kuna watu wanazo! Ninarudia tena kuwa hakuna aliyeahidi kuzitoa, kwa hiyo mkuu take that back!
Unajua kabla ya hii ishu ya Balali kutokea, nilikuwa niaamini sana kuwa hapa JF ndio mabigwa wa demokrasia, yaani kwenye kuheshimu mawazo ya wengine regardless kama tunakubliana nao, lakini hiii ishu imefungua sana macho, hasa nikizingatia kuwa wengi wetu humu kuna siku tutakuatna kwenye kutawala au kuongoza wengine, ndio maana ninasema I love JF, maana kila siku panafundisha mapya kuhusu viongozi wetu watarajiwa maana ni sisi wenyewe wananchi!