William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Huyu mama Muganda alikuja kwa mambo yake na BWM na wala sio ushauri wa uchumi na ndio maana mama wa kichaga alipostuka ikabidi atimuliwe! Hii hadithi kwamba alicontribute to turn around the economy ni wishiful thinking tu. As to her pay huko W/B hapati hizo pesa unazosema anapata she is just a junior officer ; ukukmbuke kuna watu walikuwa maboss wake kule ambao sasa wapo hapa nyumbani hawakubaliani na figures hizo bro!!
- Mkuu aliyesema hizo figure sio mimi hebu soma tena, ila ninasema hivi Anna ana elimu kubwa sana na hawezi kuwa sekretari, labda hao wanakuambia hizo habari yaani waliowahi kuwepo huko WB, wanakupiga fiksi mkuu, maana tunaomfahamu kwa kairbu sana ni wengi mkuu.
- Anna amemsaidia sana Mkapa na uchumi, hayo mengine yaliingia tu in the middle, lakini haibadili ukweli kwamba alimsaidia kikazi maana ni wakati huo alipokuja ndio maambo yakaanza kubadilika. Ingawa haizuii hoja zenu zingine on Balali.
Respect.
FMEs!