Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Sasa hivi wnaiba hadi tumezoea tunaona sawa ndio utaratibu wa maisha, siku zaja Magufuli atatangazwa shujaa wa Taifa kama hivi juzi Captain Traore,Rais wa Burkina Faso alivyomtangaza Thomas Sankara.
 
R.I.P Mwamba.
 
Kaa kimya kabisa wewe..we unafikiri hela ya kutafuta urais, kununua wajumbe tanzania nzima, kampeni na vitu vingine tutapata wapi?
Na kweli,hiki ndicho kinachoendelea,hata umeme hatuna kwa kuwa watu wanasaka hela ya 2025..
 
Ila nikupe Pole sana ila ilikuwa zamu yako Mtumia Uvuvi wa SUMU
Acha unafiki kama mwendazake Moroni. Uvuvi unaoitwa kipe ziwatanganyika sio haram isipokuwa jamaa waliotumwa kuja kuchunguza walisema hata uwe navigezo vyote wao wametumwa pesa kama MTU atapinga kutoa pesa wao wanachoma ndicho walichofanya jamaa mungu amlani yeye nampina waungue mpaka chakunyea
 
Siku Moja Mtanikumbuka, Na Mimi najua Mtanikumbuka Kwa Mazuri na Sio Kwa Mabaya - Hayati Rais Magufuli.



Your browser is not able to display this video.
 
Leta ushahidi wa mabwawa kufunguliwa kama siyo Majungu na masufuria yako
 
Yupo heaven
 
Alinajisi uchaguzi ili kuua nguvu ya kuhoji, akajaza wanaccm kwenye maeneo ya uwakilishi, hao wanaccm aliowaweka wahoji huu uhuni.
Uchaguzi ambao ndo umeleta hawa wabunge pamoja na mkubwa wao ambao ndo mnaona wanafanya sawa
 
Na tunaomkumbuka kwa mazuri yake,tutulie tukiwaangalia mnavyojibaraguza enyi watu fake,waajiriwa fake,waalimu fake na vizazi vyenu.
Fake fake halafu tulishangaa eti walilipwa mpaka mafao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…